Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

nyie vijana mnahitahi uwokovu wa haraka, otherwise post za namna hii hazitaisha jf
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kwanini watu kama hance mtanashatI wanamwandama mzee wa kutema yai ngosha wa USA Nyani Ngabu kipi kina sukuma watu kama swissme na genge lake kumwandama sana mzee kutema yai Ngosha Ngabu.

Kwanini yeye tu ndo anaandamwa wala sio wengine?
Huyo monkey Ngabu ni mjukuu wangu kutoka Ikungulyabhashahshi Bariadi. Sijawahi kuona watu wakimwandama. JF waungwana hubishana kwa hoja, Na ukiona kuna simbilisi analeta matusi jua kabisa kuwa huyo ni mwanachama kutoka JF kids Forum
 
Back
Top Bottom