Kwanini ushirikina wa Yanga hausaidii kufanya vizuri kimataifa?

Kwanini ushirikina wa Yanga hausaidii kufanya vizuri kimataifa?

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Vitu vingi vinatatiza makomandoo wa Yanga wanaamini ulozi sana kuliko timu yeyote hapa bongo mchezaji wao asipofunga wanasema amerogwa.

Wao muda wote wazee wa timu ni kuzungumzia uchawi tu na kuogopa kurogwa hata hii mechi ya kesho tayari wana kundi la waganga nchi nzima kuchanganya na hongo kwa waamuzi wa mchezo swali kwanini nguvu hizo wasi elekeze kwenye michezo ya kimataifa?
 
Vitu vingi vinatatiza makomandoo wa yanga wanaamini ulozi sana kuliko timu yeyote hapa bongo mchezaji wao asipofunga wanasema amerogwa...wao muda wote wazee wa timu ni kuzungumzia uchawi tu na kuogopa kurogwa hata hii mechi ya kesho tayari wana kundi la waganga nchi nzima kuchanganya na hongo kwa waamuzi wa mchezo swali kwanini nguvu hizo wasi elekeze kwenye michezo ya kimataifa?
Msikilize mchezaji wenu huyo leo alivyokuwa Cloudsfm.
Screenshot_20250307_221803_Instagram.jpg

Manake leo hamlali.
 
Tulia mbumbumbu utalia na Kusaga meno
 
Ushirikina ungekuwa unasaidia basi jamii za kiafrika zingekuwa na maendeleo kuliko jamii zingine duniani, by the way Ushirikina ni laana
 
Naskia Simba huko kaenda mkapa usiku huu ki basi cha BM kina wababu watupu
 
WAGANGA FUSO 2 , MAITI ZA POPO KENTA 2 , WACHEZAJI WAMEFUNGWA MANYOYA YA MBUZI KICHWANI . ......Hata Ungekuwa Wewe Ungeweza Kuwaruhusu?
 
Vitu vingi vinatatiza makomandoo wa yanga wanaamini ulozi sana kuliko timu yeyote hapa bongo mchezaji wao asipofunga wanasema amerogwa...wao muda wote wazee wa timu ni kuzungumzia uchawi tu na kuogopa kurogwa hata hii mechi ya kesho tayari wana kundi la waganga nchi nzima kuchanganya na hongo kwa waamuzi wa mchezo swali kwanini nguvu hizo wasi elekeze kwenye michezo ya kimataifa?
Wachawi ni Hawa wa Leo waliokuwa kwenye basi la BM wamejaza wazee kibao usiku usiku awaeleweki walitaka kuingia uwanjani kufanya nini wamepigwa stop wamechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom