kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kumbe...Ina maana mataifa mengine ushirikina wao ni zaidi.
Msikilize mchezaji wenu huyo leo alivyokuwa Cloudsfm.Vitu vingi vinatatiza makomandoo wa yanga wanaamini ulozi sana kuliko timu yeyote hapa bongo mchezaji wao asipofunga wanasema amerogwa...wao muda wote wazee wa timu ni kuzungumzia uchawi tu na kuogopa kurogwa hata hii mechi ya kesho tayari wana kundi la waganga nchi nzima kuchanganya na hongo kwa waamuzi wa mchezo swali kwanini nguvu hizo wasi elekeze kwenye michezo ya kimataifa?
Huyo kacheza timu tatu ila yanga ndio kiboko tatizo ulozi wao hauwasaidii huko mbele!Msikilize mchezaji wenu huyo leo alivyokuwa Cloudsfm.
View attachment 3263032
Ngojea tutakuwekea na audio hapo umsikie Legendary wenu.Huyo kacheza timu tatu ila yanga ndio kiboko tatizo ulozi wao hauwasaidii huko mbele!
Huyo legendary wa yanga!Ngojea tutakuwekea na audio hapo umsikie Legendary wenu.
Vipi kimataifa tunguri hazifanyi kazi!Tulia mbumbumbu utalia na Kusaga meno
Umesikia....Naskia Simba huko kaenda mkapa usiku huu ki basi cha BM kina wababu watupu
Balaa kubwa!Ushirikina ungekuwa unasaidia basi jamii za kiafrika zingekuwa na maendeleo kuliko jamii zingine duniani, by the way Ushirikina ni laana
Nyie mkiamua lenu hamnaga aibu hata ugenini mnafanya yenu.Vipi kimataifa tunguri hazifanyi kazi!
Balaa kubwa!
Wachawi ni Hawa wa Leo waliokuwa kwenye basi la BM wamejaza wazee kibao usiku usiku awaeleweki walitaka kuingia uwanjani kufanya nini wamepigwa stop wamechanganyikiwaVitu vingi vinatatiza makomandoo wa yanga wanaamini ulozi sana kuliko timu yeyote hapa bongo mchezaji wao asipofunga wanasema amerogwa...wao muda wote wazee wa timu ni kuzungumzia uchawi tu na kuogopa kurogwa hata hii mechi ya kesho tayari wana kundi la waganga nchi nzima kuchanganya na hongo kwa waamuzi wa mchezo swali kwanini nguvu hizo wasi elekeze kwenye michezo ya kimataifa?
Kimataifa Gani CAFCL ambayo timu lako halikushiriki lipo UMISETA kwenye mashindano ya akina mamaVipi kimataifa tunguri hazifanyi kazi!