Takwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na tabia hizi chafu.
View attachment 3168326
Tazama jinsi mashoga yanavyofanya shughuli zao na kujinadi hadharani bila kushughulikiwa. Sio viongozi wa dini wala serikali inayochukua hatua kukomesha vitendo hivi.
View attachment 3168338
Imefikia hatua hadi mashoga wamejipenyeza kwenye tasnia ya utumbuizaji na watu wanafurahia kazi zao za sanaa licha ya kuonyesha ushoga wao kinaghaubaga. Kwa kweli inasikitisha na inahudhunisha sana. Mungu atufanyie wepesi atunasue kutoka kwenye kadhia hii.
View attachment 3168343
Sababu zinazopelekea hali hii kuwa kama ilivyo bado hazijawahi kutolewa majawabu na wanazuoni. Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu hadi wameshindwa kabisa kudhibiti vitendo vya kishoga kwenye nchi yao wamebaki kuilaumu Tanganyika kuwa chanzo cha mashoga. Sasa walitarajia Tanganyika iwasaidie kupambana na mashoga kwenye nchi yao?
Lakini kwa upande mwingine Tanganyika imesababisha matatizo makubwa sana kwa Zanzibar pale ilipolizuia koloni lake hili kujiunga na OIC. Kama Zanzibar wangejiunga na OIC huenda uchafu huu ungepungua au ungetokomezwa kabisa kwenye nchi yao kwa kushirikiana na nchi rafiki za kiarabu.
Zanzibar imekuwa na historia ndefu ya mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbalimbali duniani, hasa kupitia biashara ya watumwa na bidhaa.
Athari za tamaduni za Kiarabu, Kihindi, na Kizungu zimeunda jamii yenye utofauti mkubwa wa mitazamo na tabia.
Hii imejenga mazingira ambapo baadhi ya tamaduni za nje kuhusu masuala ya kijinsia zinaweza kupokelewa kwa njia ya kipekee, hata kama kwa siri.
Pia, Zanzibar ni kisiwa kidogo chenye watu wachache ikilinganishwa na Tanzania Bara. Jamii ndogo hufanya watu kuwa na muingiliano wa karibu zaidi, na kwa wale wanaojihusisha na ushoga, inaweza kuwa rahisi zaidi kujua wenzao au kuwasiliana.
Kwa ukaribu wao, inaweza kutoa picha kwamba ushoga ni mwingi, ingawa huenda si kweli kwa idadi halisi, bali kwa mwonekano wa jamii.
Kwani, kwa eneo kubwa kama Bara, inaweza kuwa ngumu kujenga ukaribu wa kuonekana hata kama ni wengi kuliko Zanzibar.
Zaidi, kwa ujumla jamii inapaswa kupinga ushoga wa wazi au wa siri, kwani ushoga wakati mwingine husababisha shida za afya ya akili.
Ova