A
Utofauti huo SI sawa,kwani tunatumia sarafu Moja!Habari,
Naomba kufahamu ni kwa nini ushuru wa kusafirisha mazao unatofautiana kati ya halmashauri, huku tofauti hiyo ikiwa kubwa licha ya kuwa ni zao la aina moja.
Kwa mfano, kusafirisha mchele kutoka Mbeya au Iringa kwenda Dar es Salaam hutozwa kati ya Sh1,000 na Sh2,000 kwa kila kilo 100. Hata hivyo, kusafirisha mchele kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam hutozwa Sh4,000 kwa kila kilo 100.
Je, ni sahihi zao la aina moja kutozwa ushuru tofauti kulingana na halmashauri linakotoka? Ikiwa ndivyo, msingi wa utofauti huo ni upi?
Aidha, je, Serikali haiwezi kuweka viwango vya ushuru vinavyofanana nchi nzima kwa mazao ya aina moja, kama ilivyo kwa baadhi ya tozo, ada na leseni za biashara, ili kuondoa tofauti zinazowaongezea wafanyabiashara gharama na kuleta usawa?
Hoja yako ina mashiko; lakini kumbuka kila Halmashauri ina Baraza lake la Madiwani (Full council)na halafu tena kila Halmashauri ina vipaumbele tofauti.Utofauti huo SI sawa,kwani tunatumia sarafu Moja!
Ni kweli tunatumia sarafu moja; lakini usisahau gharama za uzalishaji wa mazao hutofautiana kati ya Eneo A na Eneo BUtofauti huo SI sawa,kwani tunatumia sarafu Moja!
Kuna upigwaji hapo si unajua wanataka kuwa na viriba tumbo
Ujue kuna watu wanaishi mijin haya hayajawakuta wanajibu km wamekatika vchwa, kwan nan anapima gharama y uzalishaj wakat wanaotoza ushuru sio wakulima? Na je lini wakulima waliulzwa kuhusu gharama zao za uzalishaj?Ni kweli tunatumia sarafu moja; lakini usisahau gharama za uzalishaji wa mazao hutofautiana kati ya Eneo A na Eneo B
Ujue kuna Kamati ya Uchumi, Fedha na Mipango (cjui siku hizi inaitwaje hiyo kamati) hao ni Madiwani na Wataalam watumishi wa Halmashauri. Wataalam wa Kilimo na Mifugo wanajua gharama za uzalishaji - costs of production na wanafanya Cost-benefit analysis na hatimaye kuwashauri Madiwani tozo iweje ili isiwe ni ya kumwumiza mkulima. Mchakato huo huidhinishwa na baraza kuu la Madiwani i.e. Full council.Ujue kuna watu wanaishi mijin haya hayajawakuta wanajibu km wamekatika vchwa, kwan nan anapima gharama y uzalishaj wakat wanaotoza ushuru sio wakulima? Na je lini wakulima waliulzwa kuhusu gharama zao za uzalishaj?
Kwanini bei ya kusafirisha mchele kutoka mbeya kwenda dar na kutoka morogoro kwenda dar kwa kilo hiyo hiyo bei hutofautianaHabari,
Naomba kufahamu ni kwa nini ushuru wa kusafirisha mazao unatofautiana kati ya halmashauri, huku tofauti hiyo ikiwa kubwa licha ya kuwa ni zao la aina moja.
Kwa mfano, kusafirisha mchele kutoka Mbeya au Iringa kwenda Dar es Salaam hutozwa kati ya Sh1,000 na Sh2,000 kwa kila kilo 100. Hata hivyo, kusafirisha mchele kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam hutozwa Sh4,000 kwa kila kilo 100.
Je, ni sahihi zao la aina moja kutozwa ushuru tofauti kulingana na halmashauri linakotoka? Ikiwa ndivyo, msingi wa utofauti huo ni upi?
Aidha, je, Serikali haiwezi kuweka viwango vya ushuru vinavyofanana nchi nzima kwa mazao ya aina moja, kama ilivyo kwa baadhi ya tozo, ada na leseni za biashara, ili kuondoa tofauti zinazowaongezea wafanyabiashara gharama na kuleta usawa?
Mkuu; Sokoni kuna mambo mengi yanaangaliwa na wafanyabiashara pamoja na wanunuzi.Kwanini bei ya kusafirisha mchele kutoka mbeya kwenda dar na kutoka morogoro kwenda dar kwa kilo hiyo hiyo bei hutofautiana
Thanks buddy,swali lingine kwa uzoefu wako mchele wa mbeya na wa morogoro upi mzuri kumzidiMkuu; Sokoni kuna mambo mengi yanaangaliwa na wafanyabiashara pamoja na wanunuzi.
1. Usafi wa bidhaa na Umaarufu e.g. wanunuzi wanapenda sana mchele wa kutoka Mbeya (hata kama umetoka/umelimwa Moro ukaitwa ni wa Mbeya)
2. Gharama: Kutoka Mbeya to Dar vs Kutoka Moro to Dar. Umbali haulingani.
Usafirishaji na mtindo wa usafirishaji e.g. Kusafirisha kwa Bulky (tones)ni tofauti na kusafirisha viroba vichache.
3. Gharama ya kupakia mzigo - Ukusanyaji/kulundika pamoja, kupandisha na kupanga/kufunga mwanzo wa safari halafu na kuushusha mzigo kwenye Lori
kituo cha mwisho wa safari.
4. Uwingi wa bidhaa sokoni na maamuzi binafsi ya mwenye mzigo e.g. unang'ang'ana kupata bei kubwa wenzio wanashusha bei na mzigo wao unaisha wewe mzigo unakudodea n.k.
Kama hakuna uchakachuaji uliofanyika, mchele wa Mbeya ni mzuri zaidi.Thanks buddy,swali lingine kwa uzoefu wako mchele wa mbeya na wa morogoro upi mzuri kumzidi
Umeongea vizuri ila upo nje na hoja ya mtoa mada. Hizo gharama zote ulizotaja hapo wala hazipo juu ya halmashauri bali ni aidha zitabebwa na mkulima ama mfanya biashara ambaye ni mnunuzi wa hiyo bidhaa husika.Mkuu; Sokoni kuna mambo mengi yanaangaliwa na wafanyabiashara pamoja na wanunuzi.
1. Usafi wa bidhaa na Umaarufu e.g. wanunuzi wanapenda sana mchele wa kutoka Mbeya (hata kama umetoka/umelimwa Moro ukaitwa ni wa Mbeya)
2. Gharama: Kutoka Mbeya to Dar vs Kutoka Moro to Dar. Umbali haulingani.
Usafirishaji na mtindo wa usafirishaji e.g. Kusafirisha kwa Bulky (tones)ni tofauti na kusafirisha viroba vichache.
3. Gharama ya kupakia mzigo - Ukusanyaji/kulundika pamoja, kupandisha na kupanga/kufunga mwanzo wa safari halafu na kuushusha mzigo kwenye Lori
kituo cha mwisho wa safari.
4. Uwingi wa bidhaa sokoni na maamuzi binafsi ya mwenye mzigo e.g. unang'ang'ana kupata bei kubwa wenzio wanashusha bei na mzigo wao unaisha wewe mzigo unakudodea n.k.
Uko sawa. Niliyemjibu alitaka kujua bei ya kusafirisha Mchele na sio Ushuru. Nilimwelewa kwamba alimaanisha Nauli.Umeongea vizuri ila upo nje na hoja ya mtoa mada. Hizo gharama zote ulizotaja hapo wala hazipo juu ya halmashauri bali ni aidha zitabebwa na mkulima ama mfanya biashara ambaye ni mnunuzi wa hiyo bidhaa husika.
Hoja ya mtoa mada inahusia na gharama za tozo/ushuru unao/zinazopangwa na halmashauri juu ya usafirishaji wa mzigo (cargo on transit) husika kutofautiana kwa gharama hizo tena kwa mazao yenye kufanana na kwa ujazo uleule.
Yaani mchele au mahindi ambapo halmashauri haijui mkulima ama mfanyabiashara ameumia na kugharamika kiasi gani katika uzalishaji ama usafirishaji ila wao wapo kwenye mageti na POS zao kukusanya mapato ya halmashauri