Kwanini usipokuwa umeoa au kuolewa inakuwa ngumu kupata chumba cha kupanga?

1) Kufanya usafi wa mazingira

2) Hofu ya kutembea na wake wa wapangaji wenzake ikiwemo maza house

3) Mtu kusepa ghafla,msela ni rahisi kuhama kimya kimya usiku

4) Kujaza masela. Hapa msela anapanga halafu wana ndio wanakuja kuangusha night
Kuuumbe!!!
 
No 4, siwezi ishi na mpangaji wa namna hiyo, lazima nihame tyuuh.
 
Nilipanga chumba maeneo fulani Dar Kinondoni. Sharti la Mama mwenye nyumba ilikuwa ni kwamba yeye anapangisha Mwanaume ambaye hajaoa tu. Hapangishi aliyeoa wala mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana lol.
 
Nadhani mwenye nyumba alikuwa ni mwanamke
 
☕☕
 
Mkoani ndiyo wapi. Dsm siyo mkoa? Acheni ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…