Kwanini uswahilini ni masikini?

Kwanini uswahilini ni masikini?

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Kwann uswahilini wengi ni masikini hata baadhi ya mitaa hata ukifungua biashara utoboi pana view nne tunaziita school of thought yaani dini, sayansi ya akili, uchawi, universe

1=. kwa majibu ya dini wao wanasema pana roho chafu ya umasikini,

2= majibu kwa elimu ya uchawi kila eneo anga lina mtawala wake anaitwa chief satanic ameseti standard ya life mkaazi yeyeto atakiwi kuvuka level maalumu ya life ukijifanya kuvuka yatakupata yafatayo utakufa, utafilisika au utahama.

3=. Sayansi ya akili hapa unakuta vitu viwili conscious na subconscious mind.

Tupate majibu subconscious mind ina daka na kuhifadhi matukio yote ya kila siku uyaonayo na kuyasikia ndio yanatoa direction ya maisha yako yaweje kwa sababu uoni kipya kutoka kwenye mazingira yako nawe hautokuwa na jipya utaishia kuwa kama wao thus unakuta tabia ufanana za mtaa au kijiji,hadi waje wageni walete vitu vipya ndipo changes zitatokea.

Kundi hili lina uterm umasikini ni ugonjwa wa akili inatakiwa akili iwe formated na kuprogramiwa upya ili iweze kumeet challenge.

4=. Kwa mujibu wa universe laws (watu wa energy) wanasemaje wao wanasema Hapo ni ishu ya energy yaani negative energy ni kubwa 70% kuliko positive energy so wao wameshindwa kuhamisha energy positive ya utajiri ilete matokeo kwenye maisha yao kwa sababu vyote vipo kwenye universe wewe umepewa freewill uchague energy yeyeto uitakayo na kuivuta kwenye maisha yako iwe furaha, umasikini, utajiri,chuki, hasira nk ni wewe ndie unaamua na sio nature ndio inaamua maisha yako kupitia subconscious mind ambayo ukulink na nature hichi kitendo kinaitwa connectivity thus wenye kuzijua hizi siri wao ula mema ya nchi hawatoki jasho.
 
Hakuna umaskini ni level ya maisha , kama matarajio yako kukuta magorofa basi uwezo wao ...Kuwasema watu hakuondoi fikra zao basi kila jamii ya kiaafrika iliishi katika umaskini kwa miaka mpaka wakaja wazungu .

Ukweli ni kwamba hakuna umaskini ila mfumo wa pesa na mzunguko , unafanya wachache wawe juu na wengine chini..Kumuongelea maskini anayeishi maisha anaona sawa ni kupoteza muda , mtu atafanyaje ndio maisha yake .
 
Kwann uswahilini wengi ni masikini hata baadhi ya mitaa hata ukifungua biashara utoboi pana view nne tunaziita school of thought yaani dini, sayansi ya akili, uchawi, universe

1=. kwa majibu ya dini wao wanasema pana roho chafu ya umasikini,

2= majibu kwa elimu ya uchawi kila eneo anga lina mtawala wake anaitwa chief satanic ameseti standard ya life mkaazi yeyeto atakiwi kuvuka level maalumu ya life ukijifanya kuvuka yatakupata yafatayo utakufa, utafilisika au utahama.

3=. Sayansi ya akili hapa unakuta vitu viwili conscious na subconscious mind.

Tupate majibu subconscious mind ina daka na kuhifadhi matukio yote ya kila siku uyaonayo na kuyasikia ndio yanatoa direction ya maisha yako yaweje kwa sababu uoni kipya kutoka kwenye mazingira yako nawe hautokuwa na jipya utaishia kuwa kama wao thus unakuta tabia ufanana za mtaa au kijiji,hadi waje wageni walete vitu vipya ndipo changes zitatokea.

Kundi hili lina uterm umasikini ni ugonjwa wa akili inatakiwa akili iwe formated na kuprogramiwa upya ili iweze kumeet challenge.

4=. Kwa mujibu wa universe laws (watu wa energy) wanasemaje wao wanasema Hapo ni ishu ya energy yaani negative energy ni kubwa 70% kuliko positive energy so wao wameshindwa kuhamisha energy positive ya utajiri ilete matokeo kwenye maisha yao kwa sababu vyote vipo kwenye universe wewe umepewa freewill uchague energy yeyeto uitakayo na kuivuta kwenye maisha yako iwe furaha, umasikini, utajiri,chuki, hasira nk ni wewe ndie unaamua na sio nature ndio inaamua maisha yako kupitia subconscious mind ambayo ukulink na nature hichi kitendo kinaitwa connectivity thus wenye kuzijua hizi siri wao ula mema ya nchi hawatoki jasho.
Ukitaka kuendelea kaa mbali na maskini (Waswahili).
 
Back
Top Bottom