Kwanini utajiri wa Elon Musk anashuka sana?

Kwanini utajiri wa Elon Musk anashuka sana?

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Leo yuko nafasi ya
Screenshot_20240421-093147.jpg
nne. Kapitwa na Mark Zuckerberg

Alipanda haraka Sana na anashuka kwa kasi kubwa. Ni kwa nini
 
Elon kapanda haraka na wala hajawahi kushuka kwa haraka kulinganisha na upandaji wake, rudi miaka sita nyuma alafua angalia Elon alikuwa tajiri wa ngapi duniani then hio list ya top ten hakuwepo kabisa kama sio 20.

Pia Elon bado project zake zoote zilizompa umaarufu na watu kumuqeka kwenye spotlight bado zijawa LIVE, tels imejifanya kimbelembele tu.
 
Utajiri wao ni wa namba
Share zikiteteleka au kupanda
Basi mmoja anashuka faster na mwingine anapanda faster
Hvyo tunaweza sema kuna mkuu anaamua
 
Utajiri wao ni wa namba
Share zikiteteleka au kupanda
Basi mmoja anashuka faster na mwingine anapanda faster
Hvyo tunaweza sema kuna mkuu anaamua
Ni kweli.. Baadhi ya watu wanaamini huo ni utajiri wa fedha zilizoko benki kumbe ni thamani ya uwekezaji wake inavyopokewa na soko .

Leo hii Kanye West aliyekuwa anathaminishwa kuwa bilionea Leo anathamani ya Dola milioni 400 TU, baada ya mgogoro wake na Wayahudi.
 
Leo yuko nafasi ya View attachment 2969824nne. Kapitwa na Mark Zuckerberg

Alipanda haraka Sana na anashuka kwa kasi kubwa. Ni kwa nini
Tesla stock imeshuka sana, na sasa wamesema cybertruck zote zilizouzwa zirudishwe zina shida ya pedal ya kuongeza mwendo wa gari.
EVs za Mchina zinaua soko la Tesla hadi Tesla wanalazimika kushusha bei ili wauze. Mauzo yameshuka sana pia. So, Elon is taking a deeper Dive
 
Biashara kubwa ya Elon Musk ni magari ya Tesla.

●Hisa za Tesla zomeshuka kwa kiwango kikubwa sana zaidi ya 60% wawekezaji wamepunguza ununuaji wa hisa

●Sababu ya pili ni ushindani mkali kutoka kwa kampuni ya China ya utengenezaji wa magari ya umeme ya BYD ambayo kwa sasa imeizidi Tesla kwenye mauzo

Kuna uwezekano Musk akapunguza 10% ya wafanyakazi wake kwenye viwanda vyake vya magari ya Tesla kwa sababu ya kushuka kwa demand
 
Elon kapanda haraka na wala hajawahi kushuka kwa haraka kulinganisha na upandaji wake, rudi miaka sita nyuma alafua angalia Elon alikuwa tajiri wa ngapi duniani then hio list ya top ten hakuwepo kabisa kama sio 20.

Pia Elon bado project zake zoote zilizompa umaarufu na watu kumuqeka kwenye spotlight bado zijawa LIVE, tels imejifanya kimbelembele tu.
Hongera kwa kuchangia kisomi
 
Back
Top Bottom