Kwanini utegemezi wa Ulaya wa Wapinzani ni hatari kwa Nchi yetu na uhuru wetu?

Kwanini utegemezi wa Ulaya wa Wapinzani ni hatari kwa Nchi yetu na uhuru wetu?

TUMI EPAFRA

Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
59
Reaction score
56
Ukitaka kutawala watu wafanye wategemezi kwako. Kutegemea mtu ni kuuza uhuru wako, inakupasa kufanya yote anayokutaka ufanye ili ulipe deni lako au kupata msaada wao.

Inasikitisha sana mpaka leo kuna waafrika wanao wategemea na kuwatukuza wazungu wenye nia moja tu, ya kututawala na kutunyonya milele. Inasikitisha sana kuona kiongozi wa chama chochote akitegemea wazungu kifikra hasa kisiasa kiujumla kama hawana akili zao wenyewe.

Ulaya, Marekani na China wote wana nia moja, kutawala Afrika na madini yake, wanawatumia watu wenye akili finyu kueneza propaganda zao za kuosha akili waafrika ili wawategemee na kuwatukuza wazungu, watu kama Tundu Lissu na Zitto Kabwe Mzaire anayejifanya mtanzania.

Nia kubwa ya Ulaya na Marekani ni kupambana na China duniani, kushindana kiuchumi, na Afrika ndiyo mahali pakuu pa kupigania vita vyao vya kiuchumi, wote wanapigania Afrika. Hivyo Ulaya inatumia wapinzani kupambana na serikali tawala zenye uhusiano na China zaidi ya Ulaya, ili kama wapinzani wakichukua nchi wakate uhusiano na China na kudumisha wa Ulaya na Marekani. Yaani wanatufanya sie puppets na kututumia kupigana vita vyao vya kiuchumi, wanatugawanya na kutufanya dhaifu ili watutawale kirahisi.

Kwa ujumla Ulaya na Marekani hawataki viongozi wa Afrika wa vyama vilivyopigania uhuru kama ZANU ya Zimbabwe, wanataka vyama vinavyo watukuza na kuwategemea, viongozi waliooshwa akili kutegemea Ulaya na Marekani na kuwaona Miungu yao.
 
Umezaliwa lini? hujawahi kumsikia Polepole akitaja vyama rafiki wa CCM?!
 
Cdm wanataka kutuletea ushoga. Wazazi wenzangu tuwe makini sana na cdm. Kwenye nafasi ya urais tuwanyime kura ila kwenye ubunge huko mutaangalia wenyewe. Tukiwapa cdm urais maisha ya vijana wetu wa kiume na kike yatakwenda kuharibika kwa ushoga.
Ni mzazi nani anataka mwanae awe shoga????? Chagua ccm, chagua Magufuli kupinga ushoga.
 
Zitembee supana tu Kwa hao Mabeberu wanaotaka kuingiza fedha haramu Nchini, Lisu achangiwe Kama Hana pesa za kuendeshea kampeni, Ila pesa haramu hatupokei Temu hii
 
Back
Top Bottom