passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Je huu uhuni una Baraka kutoka kwa Mkuu juu? Kwa sababu vyombo vyote vya usalama vinareport kwa mkuu kwa hiyo anajua kila kitu.
Je vyombo vya usalama havina uwezo wa kuthibiti haya?
Je Tanzania itakuwa na hatma gani haya mambo yakiendelea?
Mimi naamini huu uhuni unafanywa na kikundi kidogo cha watu kinachojiona kinamiliki Tanzania.je hawazuiliki.
Je huyu kiongozi mwenye nguvu wa 3 anawajua?mbona anasapotia/hajutii huu uhalifu?
Tuchukue hatua mapema kwa sababu ya tarehe 29 yanaweza kutokea kwa sababu nauhakika watanzania watachoka kuona utekaji.