njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Kitoto kimoja nimekitongoza juzi tena kizuri nikawa najua nimepata mchepuko wa maana alivyo anza kuniandikia huo upuuzi wa xaxa sijui nini, nikapiga chini hapo hapo yaaani sijajibu msg hata moja na simu nimeblock kabisa
Xafi xana michepuko xio dili. . He hehe aisee me huwa wananiudhi acha. . Ila seriously michepuko ni soo , maradhi mengi. .