YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
OK usalama wa taifa vetting ya hao vijana wa kurithi hawakuwa na kashfa za ufisadi popote?Mimi ninao ushahidi,huu upuuzi ulianzishwa na Mwendazake..
Tanrods umekithiri,yule marehemu Mfugale alikuwa amestaafu kitambo,Ma Regional Manager wengi Sana wa Tanroads wamestaafu..
Mtendaji mkuu wa Tarura amestaafu kitambo na bado anaongezewa mkataba tuu wakati wengine wapo.
Huu ni Wehu na sababu ni kwamba hao watu huwa ni wanatoa pesa kwa wenye mamlaka na hivyo wanatumia hiyo loop hole.
Ofisini ukiona kuna mzee anakaribia kustaafu miaka kumi ijayo kijana unatakiwa ujipange kwa Ku clean plate usiwe fisadi
Succession Plan inachukua 10 years minimum ukijifanya wewe sharp kukwapua ili utoke chapchap utakoma hiyo post yake huchukui