Kwanini UTUMISHI inaendelea kuwapa mikataba Watumishi wanaostaafu?

OK usalama wa taifa vetting ya hao vijana wa kurithi hawakuwa na kashfa za ufisadi popote?

Ofisini ukiona kuna mzee anakaribia kustaafu miaka kumi ijayo kijana unatakiwa ujipange kwa Ku clean plate usiwe fisadi

Succession Plan inachukua 10 years minimum ukijifanya wewe sharp kukwapua ili utoke chapchap utakoma hiyo post yake huchukui
 
Wewe kumpa mtu ajira ni vetting tosha,, usalama gani wa Taifa kwenye kusimamia ujenzi wa barabara? By the hao ni administrators tuu sio watendaji wa kazi husika.
 
Waoga sana hao. Hakuna jibu la kuwaelezea.
Laiti wangejua maisha baada ya kustaafu yalivyo mazuri wasingehangaika.

Mdogo mmoja amestaafu ana shop lake kubwa la dawa na vipodozi, ameitwa au tuseme ameomba kurudi ofisini kwa mkataba kaacha biashara yake.

Nilimshangaa,
 
vijana hamueleweki kama mnawaza kunyanduana tu na hata nguvu zenyewe hamna hadi mpake mkongo, mkipewa majukumu ya maana mtaweza kweli? waacheni wazee wapige kazi nyie endeleeni kushinda twita na FB ku like makalio makubwa tu
Acha upumbavu wewe,nyie mazee zaidi ya kwamba mnaonufaika na syndicate ya wizi hakuna kingine mnaweza.

Hata barua tuu hamuwezi kuandika.
 
This happens because many employers in Tanzania do not have a clear succession plan. Junior and young employees lack eagerness to learn from their superiors. Once they retire, it is when the vacuum is felt, thus a need comes for re-engagement of retired employees.
 
Sasa hiyo success plan itashuka na mvua kama sio hao kuachia ngazi na wengine wawe recruited? Sehemu kubwa hata sio succession plan ni upuuzi na kulinda syndicate ya wizi..

Hivi mtu ni Regional Manager ,hapo chini hakuna Ma District Manager?

Mtu ni CEO wa taasisi hapo chini hakuna Directors wa section wa kuchukua nafasi?

Acheni kutetea upuuzi na mnyororo wa upigaji.
 
Inaonekana huna taarifa. Kuna mzee anafanya kazi katika ofisi za umma zaidi ya supervision ya junior staff na leadership?
Ni njaa zao tu na uoga wa maisha ya kitaa. Hakuna kingine.
 
Inaonekana huna taarifa. Kuna mzee anafanya kazi katika ofisi za umma zaidi ya supervision ya junior staff na leadership?
Ni njaa zao tu na uoga wa maisha ya kitaa. Hakuna kingine.
Pia hao watu wanakuwa wametengeneza chain ya upigaji kuanzia kule Wizarani kwa hiyo Hawa wa huku ndio wafanikishaji ndio maana wanaongezeana mikataba.
 
Pia hao watu wanakuwa wametengeneza chain ya upigaji kuanzia kule Wizarani kwa hiyo Hawa wa huku ndio wafanikishaji ndio maana wanaongezeana mikataba.
Jina lako linaeleza uliyoyaandika, purely misconception, huwezi kuajiriwa baada ya kustaafu kama huna vitu vya ziada ambavyo employer wako anavikosa kwenye pool yake ya staff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…