copyright
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 584
- 584
WanaJF salam!
Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa na kupitisha makato kwa maHRO.
Sasa katazo hili ndo linasababisha watumishi kushindwa kuuza madeni kutoka taasis moja kwenda nyingne kwakuwa kwenye mfumo bado hakuna access ya kuruhusu kuuza au kununua deni.
Hii imeleta taaruki kwa watumishi kwakuwa wengi wana madeni ya taasis nyngne na wanataka kuuza kwenda kwa taasis nyngne lakini haiwezekani. Wengine wana madeni ya bodi ya mikopo (ambayo yanakata zaidi ya moja ya tatu) wanataka wayauze taasis nyngne lakini haiwezekani.
Kwa hali hii watumishi tunawaomba Utumishi meuhusu tuendelee kutumia mfumo wa zamani katika hili mpaka hapo mtakapojipanga na huo mfumo wenu mana sisi watumishi wa chini ndo tunaumia.