Kwanini UTUMISHI wamezuia watumishi wa umma kukopa?

Du, du bora HESLB wana unafuu, unauzaje deni la HESLB
Kinachowachanganya kwenye kila chochote kinachoongezeka na makato ya HESLB yanaongezeka. Lakini mwisho wa siku bora HESLB kuliko bank.

Pia Kuuza deni kwa taasisi nyingine hilo ni wazo mfilisi kabisa.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Ila naona hizi bank zote sio rafiki Kwa mtumishi ,Zina tiba kubwa san
Mfumo wa ESS una faida nyingi kuliko hasara, so changamoto yako moja hiyo isikufanye uone kama na wengine hawautaki mfumo.
Kwanza kuuza deni, ni kujiongezea taabu ya muda mrefu kwa njaa ya siku moja.
Kwa mfano;
Katika mikopo mfumo una faida hizi;
1.Una apply mkopo ukiwa nyumbani kwako na laptop yako, na pesa inaingia instantly.
Huna sababu ya kutembea na bahasha kwenda benki, idarani kwako na kwa HRO
2.ESS inakupa nafasi ya kuona benki zote zinazokopesha, riba zake na masharti yake, hivyo inakusaidia kuchagua benki moja ya kukopa kulingana na unafuu wake.
Huna sababu ya kutembelea benki zote manually kutizama riba&masharti.
3.ESS imeondoa urasimu uliokuwa ukiwakwamisha watumishi&kuokoa muda.
NB
Nakushauri ukubali kubadilika&kwendana teknolojia.
Na usipende kupotosha.
Ila hizi bank zote sio rafiki Kwa mtumishi,Zina tiba kubwa sana,lakin pia baadhi ya bank Zina kitunkinaitwa processing fee na bima zipo juu sana,Kwa Sasa hivi sidhan kama Kuna mtumishi anayekopa NMB wana hicho kitu na kinakatwa kwenye take home amount
 
Ila naona hizi bank zote sio rafiki Kwa mtumishi ,Zina tiba kubwa san

Ila hizi bank zote sio rafiki Kwa mtumishi,Zina tiba kubwa sana,lakin pia baadhi ya bank Zina kitunkinaitwa processing fee na bima zipo juu sana,Kwa Sasa hivi sidhan kama Kuna mtumishi anayekopa NMB wana hicho kitu na kinakatwa kwenye take home amount
Ila hizi bank sio rafiki Kwa mtumishi,Zina tiba kubwa sana,lakin pia baadhi ya bank Zina kitu kinaitwa processing fee(ada ya mkopo)na bima zipo juu sana,Sasa hivi sidhani kama Kuna mtumishi anayekopa NMB ,wanaumiza sana
 
Kweli kabisa
 
Ada ya mkopo inakatwa kila mwezi siyo? Asilimia ngapi?
 
Du, du bora HESLB wana unafuu, unauzaje deni la HESLB
Unauza deni la bodi sio kwasababu ya % ya riba ila ni kwa sababu unapandisha salary toka chini ya 1/3 hadi juu au kwenye 1/3 yenyewe.
Inawezekana 1/3 yako nia 400K lakini bodi watakata hadi hiyo na kukuacha labda na 270K kwa mwezi kitu ambacho kinaleta wakati mgumu wa kuishi
 
Ila hizi bank sio rafiki Kwa mtumishi,Zina tiba kubwa sana,lakin pia baadhi ya bank Zina kitu kinaitwa processing fee(ada ya mkopo)na bima zipo juu sana,Sasa hivi sidhani kama Kuna mtumishi anayekopa NMB ,wanaumiza sana
Wengi wamekimbia sana hasa hii bima ya mkopo imekuwa ikiumiza wengi sana
 
Kinachowachanganya kwenye kila chochote kinachoongezeka na makato ya HESLB yanaongezeka. Lakini mwisho wa siku bora HESLB kuliko bank.

Pia Kuuza deni kwa taasisi nyingine hilo ni wazo mfilisi kabisa.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Ni ngumu kuvumilia kisu cha shingo wakati mkononi una panga Mkuu
 
Unauza deni la bodi sio kwasababu ya % ya riba ila ni kwa sababu unapandisha salary toka chini ya 1/3 hadi juu au kwenye 1/3 yenyewe.
Inawezekana 1/3 yako nia 400K lakini bodi watakata hadi hiyo na kukuacha labda na 270K kwa mwezi kitu ambacho kinaleta wakati mgumu wa kuishi
Hapo nimekuelewa kabisa, lakini bado tu utaumia coz unaingia riba kubwa na deni kubwa zaidi ya HESLB, bora usubiri mpaka HESLB wamalize madeni yao.
 
WanaJF salam!

Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa na kupitisha makato kwa maHRO.

Sasa katazo hili ndo linasababisha watumishi kushindwa kuuza madeni kutoka taasis moja kwenda nyingne kwakuwa kwenye mfumo bado hakuna access ya kuruhusu kuuza au kununua deni.

Hii imeleta taaruki kwa watumishi kwakuwa wengi wana madeni ya taasis nyngne na wanataka kuuza kwenda kwa taasis nyngne lakini haiwezekani. Wengine wana madeni ya bodi ya mikopo (ambayo yanakata zaidi ya moja ya tatu) wanataka wayauze taasis nyngne lakini haiwezekani.

Kwa hali hii watumishi tunawaomba Utumishi meuhusu tuendelee kutumia mfumo wa zamani katika hili mpaka hapo mtakapojipanga na huo mfumo wenu mana sisi watumishi wa chini ndo tunaumia.
Wewe ni muongo,
1.bodi ya mikopo hawakati zaidi ya 1/3,wanakata 15% ya basic salary yako
2.kuuza deni lenye Riba ya 17% kwa taasisi yenye Riba ya 17%,hapo maana yake umeongeza deni
Mwisho kua na shukrani sana mkuu,huu mfumo wa kukopa umewaokoa sana watumishi WAJINGA ,ambao huenda kukopa bial kua na taatifa sahihi za mkopo hasa riba,kuweka mfumo unaponesha taasis A ya mikopo riba 17%,wakati taasiso B riba 40% kumeleta urahisi kwa watumishi,Otherwise kwa wale wapumbavu ndio wanaweza kuingia kwenye janga
 
Ukiuza hautapata hasara kutokana na riba ya atayelinunua? Na ukiangalia bodi ya mikopo haina riba?
Kimahesabu anayeuza deni la bodi ya mikopo kwa taasisi yenye riba huyu ni MPUMBAVU,na watumishi WA design hii wengi wamejaa TAMISEMI.
Deni likiwa 10M,utailipa hio 10M,either Kwa cash ama from 15% salary yako,ukiuza kwa benki Kwa interest ya 17%,benki itakutoza 15M+,.........😀😁😆.
Hayo maamuzi hufanywa na watu wapumbavu,hasa wafanyakazi wa halmashauri
 
Kikubwa waweke hiyo option ya kuuza deni au kama wamenuia kuondoa kabisa huo utaratibu basi waweke wazi
 
Wewe ni muongo,
1.bodi ya mikopo hawakati zaidi ya 1/3,wanakata 15% ya basic salary yako
2.kuuza deni lenye Riba ya 17% kwa taasisi yenye Riba ya 17%,hapo maana yake umeongeza deni
Mwisho kua na shukrani sana mkuu,huu mfumo wa kukopa umewaokoa sana watumishi WAJINGA ,ambao huenda kukopa bial kua na taatifa sahihi za mkopo hasa riba,kuweka mfumo unaponesha taasis A ya mikopo riba 17%,wakati taasiso B riba 40% kumeleta urahisi kwa watumishi,Otherwise kwa wale wapumbavu ndio wanaweza kuingia kwenye janga
Bodi ya mikopo haina riba
 
Kimahesabu anayeuza deni la bodi ya mikopo kwa taasisi yenye riba huyu ni MPUMBAVU,na watumishi WA design hii wengi wamejaa TAMISEMI.
Deni likiwa 10M,utailipa hio 10M,either Kwa cash ama from 15% salary yako,ukiuza kwa benki Kwa interest ya 17%,benki itakutoza 15M+,.........😀😁😆.
Hayo maamuzi hufanywa na watu wapumbavu,hasa wafanyakazi wa halmashauri
Unadhani kwanini watu wa halmashauri ndo wanauza deni bodi ya mikopo?
 
Back
Top Bottom