HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mama namkubali sana ana jali watu kwa kila lika
 
Rais ameongea kwa hisia sana leo kuhusu Utumishi[emoji3064][emoji3064]
malalamiko anayapata ,PSRS ina changamoto sana kama yenyewe inadai mchakato ni process means inafuata taratibu zake iweje ishindwe kuweka taratibu kwa taasisi zinazoitaji wafanya kazi wapya. juu ya kureceive new members ina a certain period of time , hii hupelekea hata wasailiwa kupata wacwac na mashaka juu ya mchakato,,,,,,.
 
Tatizo ni uadilifu wa hizo taasisi katika mchakato wa ajira , rushwa na nepotism Kwa mbongo ni kama pete na kidole , utumishi iko poa cha muhimu ni kujaribu kuleta mabadiliko kwa kuongeza ufanisi ,watu wakifanya interview ndani ya mwezi result zitoke na mtu aende kwa mwajiri wake kukamilisha ishu nyingine ,nadhani wakifanya hivyo mambo yatakuwa. Poa kabisa na vijana stress za status zitapotea humu .
 
Tumeshawachoka utumishi na urasimu wao, hatuna muda wakupoteza tena Yan.
Watuache kama zamani
 
Ajira portal ni urasimu mbaya sana,
Raisi wetu kipenzi tunakuomba ipige pouse hii taasisi, utafurahi 2025
wewe utakua una connection inaonekata umekandwa sana na psrs , sasa unataka kutumia connection kulamba asali. utumishi waendelee kusimamia ajira ili watoto wamaskini ambao hawana connection waweze pata ajira.
 
yaah afsa
Yeah binadamu ni kiumbe mbinafsi sana! Tusikubli kurudi nyuma mbpo tasisi zilipewa uwezo wa kuajiri wenyewe. Sekritariati iachane na ukiritimba, kama ni rasilimali watu iajiri m sure wanao wengi tu kwa database
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…