X man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 600
- 579
🤣🤣🤣Wanasubili kuexpire kwenye kanzidataMbona MDAs na LGAs hazitoki jamani
🤣🤣🤣Wanasubili kuexpire kwenye kanzidataMbona MDAs na LGAs hazitoki jamani
Kabisa, kuna kada kama Afisa tawala, ni miezi sasa hakuna waliolamba asali🤣🤣🤣Wanasubili kuexpire kwenye kanzidata
hatimae yametimia 😆Asante
Pdf ya wote kwenye web bado hawajatoa mimi wameniwekea barua tu kwa account
Asante sanahatimae yametimia 😆
hongera mkuu karib katik utumishe wa umma
kila la kheir 👏
Wanasubiri kutupangia nafasi wa data bank badae waje watoe jamvi la masela😀😀😀Mbona MDAs na LGAs hazitoki jamani
Wizara ndio itaamua. Possibility kubwa ni kupangwa kwenye hospitali zilizo chini ya wizara.Ukiomba kazi afya then placement letter inasema umepangiwa kazi wizara ya afya it means utafanya hapo wizarani au unapangiwa hospitali ukisharipot wizarani?
Kada tabibu kinywa na meno
Daah Hawa majamaa wametususa Yani mwaka huu unakata hawajatangaza ajiraMbona MDAs na LGAs hazitoki jamani
Watatangaza tuDaah Hawa majamaa wametususa Yani mwaka huu unakata hawajatangaza ajira