mkeka wao utatoka leo labdaALAF MKEKA BADOOOO HAWAJAUTOA KWAHYO ZINAANZA BARUA ALAF MIKEKA
mkeka wao utatoka leo labdaALAF MKEKA BADOOOO HAWAJAUTOA KWAHYO ZINAANZA BARUA ALAF MIKEKA
Hongera sana mkuu Kila mtu na wakati wake.ngoja Nasie tuendelee huu Uzi naona wadau wanazidi kutikitia 😃Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Utatoka Leo tumeisha pata uhakika ukiona mabadiliko tu ujue tyr safarimkeka wao utatoka leo labda
Asante sanaYayyyyy hongera sanaaaaaa
Asante sanaHongera sana mkuu Kila mtu na wakati wake.ngoja Nasie tuendelee huu Uzi naona wadau wanazidi kutikitia 😃
Kabisa nilikua siamini ila now nimeaminiSI NILIKUAMBIA KAKA ANDAAAA BAG LAKINIIII ALL THE BEST
NA WAMEKUPANGA ULIYOOMBA AU UMEPEWA KADA NYINGINEKabisa nilikua siamini ila now nimeamini
Kada niliyoombaNA WAMEKUPANGA ULIYOOMBA AU UMEPEWA KADA NYINGINE
Asante sanaApo umeula mkuu karibu ktk utumishi wa umma
Na kuna uzi wa wanaoulizia mshaharaYaani kuna uzi wa wanaotafuta kuingia kwenye mfumo.
Kuna uzi wa walio kwenye mfumo wanapambana kuhama
Karibu kwenye utumishi wa umma hongeraNiko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Hongera sana mkuu.Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Na ikawe hivyoWizara ya maliasili na utalii ni buyu la asali ilo
Karibu kwenye utumishi wa umma hongera
Na wengine mtafikiwa
Hongera sana mkuu.
Karibu kwenye utumishi wa umma. Watanzania wana matarajio makubwa na wewe. All the best for you.
Hongera sana mkuu.. karibu utumishi wa umma karibu kwenye utafiti..Niko hapa Kushuhudia Kwamba Nimepata Placement Nimeona Barua kwenye Account yangu
Hakika Tusikate Tamaa
Karibu sana mkuu,serikalini patamu asee,nina week 2 tu ila tayari nishalamba 2.2m.Asante Nitawatumikia Watu wa Tanzania kwa Moyo wangu wote🙏
Huo mda wake bado😃😃 zikifika tarehe fulani lazima ukiingia ukitoka uzi upo trendingNa kuna uzi wa wanaoulizia mshahara
Asante SanaHongera sana mkuu.. karibu utumishi wa umma karibu kwenye utafiti..
☺️ Asante nishakaribiaKaribu sana mkuu,serikalini patamu asee,nina week 2 tu ila tayari nishalamba 2.2m.