Ndio ivyo mkuu nilivyo maanisha, tuko pamoja 🤝Mm naweza kuwa nimemuelewa mama tofaut hajamanisha PSRS wasisimamie ajira ila kwa baadhi ya mashirika yanayo kuwa tayar na fedha za kulipa mishahara wajiriwa wapya wapewe vibali vya haraka vya kuajir ( sikiliza hapo mwishoni) mwa io video, na kupunguza mlolongo wa ajira.
PDF ya TRA tayari
Hongera sana bossMama katisha. Nishalamba asali
Mshika flash kaona isiwe tabu.Mpaka wasemwe ndio wanastuka usingizini
Asante mkuu kwa kunitia moyo. God bless you.Hongera sana boss
Hongeraa kaka.Asante mkuu kwa kunitia moyo. God bless you.
Feedback ya status!TUNATAKA SHUHUDA, WENGI MLISUBIRI HUU, MKEKA WA TRA,
FEEDBACK PLEASE.
Asante mkuu, thank you for being there.Hongera mkuu
Mm nawaambia psrs ni gundu. Muwe mnaelewa , kama sio hili likitu watoto wenu wangekuwa Na mashavu kama mtoto anayekunywa uyi wa lishe na maziwa Kila siku asubuhiMshika flash kaona isiwe tabu.
Asante mkuu kwa kutiana moyo.Hongera sana mkuu
status kwenye app ilikuaje ?Mama katisha. Nishalamba asali
HongeraAsante mkuu, thank you for being there.