HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Acheni fikra za kimasikini , taasisi na mashirika Yaajiri kama kipindi Cha jk, Kila MTU nchi hii atafurahia maisha
Sawa mkuu unikumbuke basi inaonekana una uhakika sana. Maisha yenyewe mafupi
 
kwa wale ambao hawajapata


kumbuka """"
sometimes you may have to fight a battle more than once to win it. So na imani mtakuja mkiwa strong enough next time. Kwa mliolamba asali hongereni sana msichoke kututembelea hapa na kuwapa watu moyo wanaopambana kama mlivokuwa nyie once.
 
Kunywa hata kasmart Gin Bro nitalipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…