Umri sio kumaliza zamani mkuu.
Bado kuna data base na TRA huko mtaajiriwa wengi sana.Vuta Subra tuIam strong brother naamini walopata pia wanastahili japo sikupambana kukosa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Asante Mkuu kwa kuukeep huu uzi alive.Hongera sana ukawe mtumishi mwema.Mungu ni mwema sana
Rais Samia , ameifanya Valentine's day imekuwa ya kukumbukwa katika maisha ya watu , vijana hawatokaa kuisahau siku hii abadani mpaka Wanafukiwa. 2025 tuko na Samia bega kwa begaHongereni sana mliochaguliwa, na kwa wale mliokosa there is always next time.
Unachanganya hapa boss wa KodiSelected for oral kote kwenye app na kwenye web under placement kwenye app hakuna kitu sikuangalia sana status. Me nilifanya practical
Under placement kwenye app hakuna kitu ila statuses kote ni selected for oral.Unachanganya hapa boss wa Kodi
Unasema app selected for oral
Mwishoni unasema app hamna kitu????
Mkuu wewe unabusara ya hali ya juu kwenye kujibu hoja, comments na solutions au ushauri bila makasiriko na kueleweka. This is so great.! Bigup bro!Sahihi, ila kwa mantiki ya kawaida kabisa, Mtu aliyegraduate mwaka 2014 unatarajia awe na umri gani kwa sasa? anaweza kuwa na miaka 24 kwa sasa ?.
Ndio maana nilisema, kama mtu kamaliza chuo zamani(mfano mwaka 2014 aliousema mdau) lazima atakuwa na umri mkubwa( let say 30+).
Hata hivyo hoja yako(niliyoiquote) siipingi ila nakazia hoja yangu(kama umemaliza 2014 lazima utakuwa na umri mkubwa)
Hyo under placements then kwenye status mbona sijakuelewa mkuu..Under placement kwenye app hakuna kitu ila statuses kote ni selected for oral.
Hapo sawa afisa wa KodiUnder placement kwenye app hakuna kitu ila statuses kote ni selected for oral.
Jana ilikuwa selected for oral kwenye app na kwenye web hiyo placement usiizingatie status ni SELECTED FOR oral interview.Hyo under placements then kwenye status mbona sijakuelewa mkuu..
Labda unanijibubkitu kimoja hapa.. mpaka Jana au Leo status yako inasomeka vipi kwenye hyo kazi uliyopata..?
Sio kweli kuna watu wana selected for oral na wamekosaSelected for Oral ndo placement mkuu
Labda kama yupo databaseSio kweli kuna watu wana selected for oral na wamekosa
Hapo sawa.. ulifanya interview 3 lakini etyJana ilikuwa selected for oral kwenye app na kwenye web hiyo placement usiizingatie status ni SELECTED FOR oral interview.
Mi nina selected for oral ila ni baba jeni bye-byeSelected for Oral ndo placement mkuu
Ndio, nilifanya written, practical then oral.Hapo sawa.. ulifanya interview 3 lakini ety
Mhe.Rais Samia tuzidi kumuombea.Hakika Huyu mama anaponya mioyo ya wananchi na vijana wasaka Ajira.Hakika hata kama mtu huna kazi una Imani siku Moja mambo yatakuwa sawa, Serikali yake inatia moyo sana Kwa vijana.Rais Samia , ameifanya Valentine's day imekuwa ya kukumbukwa katika maisha ya watu , vijana hawatokaa kuisahau siku hii abadani mpaka Wanafukiwa. 2025 tuko na Samia bega kwa bega
Samia endelea kulegeza vyuma
Hata mm sjuiSasa Kwann jamn?
Mzee wa TRA vipi.Umefanikiwa kula shavu???Selected for Oral ndo placement mkuu