HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

status app ilisomaje mkuu?
 
Hahahahaha! Mkuu wewe ni hatari sana, achana na utumishi, uwezo wako wa kutabiri unatosha kupiga pesa mtaani.
Hahahaha wewe jamaa bwana.Nasuburi Mkeka wangu wa November hapa.Nitaendelea kuwa mtu mwema na kuwatakia Mafanikio mema wenzangu.Naimani Wakati wangu mzuri unakuja.Mungu ni mwema sana.
 
PDF zote huwa zinakuwa tayari muda mfupi tu,waziachie zote pale kwenye placements pajae Sasa.
 
Status bado inasoma selected for oral.. katika kipindi chote Cha kuangalia status, mi kwangu ni mara Moja tu niliwahi kuona imeandikwa selected for null, lakini siku zingine zote nilikuwa naikuta imeandikwa selected for oral
It's possible that you are on a database.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…