🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daah tuendelee kusaka mrija tusichoke wazalendo
"Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa."
Congratulations mkuuJmn nashukuruni Wana JF wote katika kutiana moyo kwenye kipind chote japo siyo Kila comment nilikuwa na jibu lakini nilikuwa naonesha ushirikiano ata kwa Ku like, Ila ningependa kutanguliza shukran zangu za dhati kwa Mungu kunijalia kupata nafasi kweny hizi placements zilizotoka leo za TRA.. tutakuwa pamoja wadau, Mungu awabariki sana
Mwifa ulisema ulianza o level ndo ukaja chuo sio?...TBT.
Nilijibu hivi
Ameen ameen wangu alianza interview tangu 2019Hongera sana Mkuu. Mimi mdogo wangu kila akienda kwenye usaili anaangukia pua mpaka nimeona niache kumzungumzia humu.
Lakini nawaahidi kwamba siku moja nitakuja na maneno ya shukurani na nitawakumbusha.
No comment.Wewe ulipapata mrija ocean road ukaamua kubadili na id ,Acha mambo yako ,hebu rudisha Id yako ya zamani , 😃😃😃
Hongereni mliopata gap la ajira ,ila msitukimbie jobless wenzenu ,endeleeni kuwemo humu na kuchangia mada kuinspire wengine , waliokosa mapambano yaendelee
Pole sana mkuu, kwa kweli naona ni kama Huu mkeka umeachiliwa kwa hasira hivi maana punde tuu mara baada ya H.E SSH jamaa wakatoa.. Hata mwishoni mwa Hii Pdf hakuna yale maneno ya kuonyesha pdf imeandaliwa na.....Yani hizi nafasi Mimi na jamaa zangu wote watatu tumekandwa asee .
Kwakweli inauma sana
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Na tangu 2019 amefanya oral mbili tu yani ya tra na ile ya Nov 23 ya mda na lga nazo sijui atapata ila alhamdulilah kwa hili hata wako atapata tu siku 1Ameen ameen wangu alianza interview tangu 2019
Jaribu kutumia approach ya Mwifa una practice mpaka unaizoea.Mwifa ulisema ulianza o level ndo ukaja chuo sio?...
Mimi sijawah anza juu kuja chini siwez nashndwa pangilia,bt from chini to juu ndo natiririka vzr(kwa experience ya private sector)
hongera dada/kakaSelected for practical interview... nami nimepata
Kwa kweli inasikitisha sanaaa na si kwamba ni kweli kuna taasisi hazina uharaka na hao waajiriwa ila ni vile tuu hatuelewi watu wanatengeneza mazingira ya posho nyingi au vp?Huo ndio upuuz sasa , inaonekana mikeka walishatengeneza ,sasa nini kilikuwa kinawakwamisha kuupload ? , Haina maana watu kufanya interview halafu wanasubiri placement zaidi ya mwezi mmoja ,huo ni ujinga kabisa .
Hili suala Sekretarieti ya ajira waliangalie ,kuna watu wamefanya usahili tangia mwaka jana ,mpaka leo hamna kitu ,hii inakuwa na maana gani sasa ? ,kama taasisi haina uhitaji si wapige kimya,? ,maana mtu kusaga nauli ,muda na efforts kufanya sahili huko Dodoma halafu unasubiri kwa miezi placement ,duh
CongratulationsMungu ni wa Neema sana leo na mimi nimepata kazi Asanteni wa JF kwa ushirikiano
Hongera sana. Enjoy ur day.Mungu ni wa Neema sana leo na mimi nimepata kazi Asanteni wa JF kwa ushirikiano
Nimepata MkuuIt's possible that you are on a database.
Kakah tujipange tu hakuna namna cha Msingi ni kukubali kuwa hatukufanya vzr zaidi ya waliochaguliwa Leo. Uwenda tupo kwny database (hii ss ni Kudra za Mwenyezi Mungu hakuna anaejua Zaid ya PSRS)Nilichukua muda kidogo kuweza kuvuta pumzi na kutoa maoni yangu kuhusu interview ya TRA.
Kwanza nianze kwa kuwapongeza mliochaguliwa ni bahati na inapaswa kumshukuru Mungu.
Binafsi tukianza na interview ya TRA iliyopita niliikosa kwa marks 0.5 iliniuma sana ikabidi nikubaliane na hali na kujipanga kwa interview inayofuata na namshukuru Mungu nilifanikiwa kutinga oral ambayo leo imetoka ila bado Mungu hakunipa kibali cha kuwa miongoni mwao na kwakuwa nimegraduate muda mrefu sasa huenda nikaangazia mambo mengine.
Shuhuda za status (Selected for Null then Selected for practical then Selected for null then Selected for practical) Je, status zina determine selection bado ni fumbo?
Kila la kheri mnaosubiria pdf na wale mnaotarajia kwenda kwenye oral interview.
Dont give up. Nimekuelewa sana apo kwenye swala la umri umekwenda lakin mi nazani unaweza weka nguvu kubwa upande wa pili kama ulivo wazaa but usiache kufanya interview, sitaki kuamini kwamba ushafika 45, kama sikosei unarusiwa ku apply ad age io. Lolote linatokea endelea ku apply next time utakuwa na exp kubwa kuliko iliopita.Nilichukua muda kidogo kuweza kuvuta pumzi na kutoa maoni yangu kuhusu interview ya TRA.
Kwanza nianze kwa kuwapongeza mliochaguliwa ni bahati na inapaswa kumshukuru Mungu.
Binafsi tukianza na interview ya TRA iliyopita niliikosa kwa marks 0.5 iliniuma sana ikabidi nikubaliane na hali na kujipanga kwa interview inayofuata na namshukuru Mungu nilifanikiwa kutinga oral ambayo leo imetoka ila bado Mungu hakunipa kibali cha kuwa miongoni mwao na kwakuwa nimegraduate muda mrefu sasa huenda nikaangazia mambo mengine.
Shuhuda za status (Selected for Null then Selected for practical then Selected for null then Selected for practical) Je, status zina determine selection bado ni fumbo?
Kila la kheri mnaosubiria pdf na wale mnaotarajia kwenda kwenye oral interview.