HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Njoo kiwanjani South Afrika, Bongo wachawi wengi.
Magonjwa, kifafa cha mimba, utapiamlo, kurogana, kuchukuliana nyota nk.
 

Usiache kuomba na kusali kwa maana hakuna ajuaye kesho yake Mungu ni mwema wakati wote.
 
pole sana kaka, kuna wakat maisha yanakua magumu na umeweka hope kwenye kitu fulan, nacho kiki fail unaweza hisi dunia nzima imekulemea, huu ndo wakati extra courage inatakiwa itumike kwenye kila shida kuna njia ya ku solve, and time is the best healer. Pambana brother angalia kila aina ya nyenzo unazo weza tumia, mda utaongea.
 
Pole sana wakati wako bado mtapata tu
 
Pole sana Mkuu, nimejaribu ku_imagine sijapata picha.. omba sana Mungu, atakufungulia njia kwa namna nyingine!!, Usipoteze Imani kabisa!!.
 
Mkuu usijali Mungu ameweka kitu kinaitwa "Natural process" ni lazima tupite kwenye pain na mitihani ndio tuipate raha usiumie.

Hata watumishi wapo wengi ambao hawakopesheki na hata 1/3 inayotakiwa kubaki baada ya makato haipo hawafurahi mishahara kikubwa ni effort, kutokukata tamaa na focus.

KEEP UP THE FIGHT
 
Pole sana mkuu, mwamini Mungu tuu...hata sasa wakati ambapo unaona hakuna njia yeye anayo njia na atafanya njia kwako pia.
 
Pole sana usikate tamaa alwayz omba Mungu kwa kila jambo hauko peke yako kwenye mapito
 
Dah,inaumiza sana sana. Mungu akufanyie wepes kwa namna yyt ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…