Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaJmn nashukuruni Wana JF wote katika kutiana moyo kwenye kipind chote japo siyo Kila comment nilikuwa na jibu lakini nilikuwa naonesha ushirikiano ata kwa Ku like, Ila ningependa kutanguliza shukran zangu za dhati kwa Mungu kunijalia kupata nafasi kweny hizi placements zilizotoka leo za TRA.. tutakuwa pamoja wadau, Mungu awabariki sana
Pole sana mkuu, una riziki yako mahali ila muda bado haujawadia. Usife moyo, usikate tamaa, endelea kupambana zaidi. Tuendelee kuombeana kama kawaida yetu humuKiukweli nimekandwa na namshukuru Mungu nafsi ina Amani japo sikupambana kukosa naamini bado nina nafasi wapambanaji tusikate tamaa bado nafasi tunayo one day yes.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hongera sana, ukawe mtumishi mwemaMama katisha. Nishalamba asali
Hamna mashaka yyte mkuu...kukosa nako ni matokeo sio lazima watu wote wapate
Mkuu jamaa wanatazama nankuchukua wale waliofanya vizuri zaidi katika usaili, hizo CV na GPA kila chuo kina namna ziafanya kwa graduate wake.
Tukubaliane tu, tuliobaki hatukupata alama za kutosha.
Huo ni urasimu wao tu, na ndio uliopelekea kuwepo kwa uzi huu, tizama kichwa cha uzi huu kimeuliza kuhusu nini?Kwanini wayatoe mara tu baada ya Rais kuwasema ?
Usijali mkuu, nafasi yako ipo, tena utaifurahia sana, vuta subiraNimekandwa mkuu nimekandwa,ila bado nina imani na psrs waloitwa wanastahili.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwa kweli nasi tunasubiri kwa hamu.Na Mimi naimani Kubwa PSRS watakuwa wameshaktuka na kuamshwa.Bora huu mkeka wa TRA umetoka..
Sasa tunawaza mikeka ya November na December tu,, according to mkwara wa Mama yetu Leo.. hii mikeka iliyobaki bila shaka itatoka huu mwezi Ferbuary
Mkuu ajira haiangalii GPA. Kuna mtu alikuwa miongoni mwa walioongoza written ila hajapata kaziLeo ni Kama vile wamekurupishwa Na kulazimika kutoa majina ambapo mashaka ni mengi!
Huenda hawakujiandaa kutoa yale majina, huenda watu genuine wameachwa sababu ya zimamoto style ya kulazimika kutoa yale majina.
Kuna watu wana cv GPA za vyuo vya kueleweka wameachwa! Imagine!
Bora ivunjwe ijulikane moja maana miueyusho tu!
Huo ni urasimu wao tu, na ndio uliopelekea kuwepo kwa uzi huu, tizama kichwa cha uzi huu kimeuliza kuhusu nini?
Ni vitu ambavyo tulio nje tunakosa majibu ya moja kwa moja, na hata baadhi ya waliopata ajira wameshuhudia humu kuwa, barua zao zilisainiwa tarehe za nyuma, mwezi mmoja nyuma, kabla ya placement kutoka.
GPA ni vyuo vikuu tu kwenye kufundisha.Ukiona unaitwa Usaili wa TA au Assistant Lecturer basi yeyote anaweza kuwa mwajiriwa.Hizi Ajira nyingine GPA sio kigezo.Mkuu ajira haiangalii GPA. Kuna mtu alikuwa miongoni mwa walioongoza written ila hajapata kazi
Shida ni katika huo urasimu wa kutangaza au kutoa placement. Kwa washiriki wengi bado wanaimani na namna wanavyoendesha mchakato, shida ipo hapo katika kuhitimisha, hilo moja.Kwa hiyo kumbe tunakubaliana kuwa hao jamaa ni shida kama Rais alivyosema!
Hongera mkuu,My first oral interview, my first job. God is so Good
Tuendelee kuombeana, mliniombea nami jukumu langu ni kuwaoombeeni
Ilitakiwa wawe 501 bado maderevaTRA WALIOITWA KAZINI NI VIJANA 452
JE TANGAZO LILIKUA NA POST IDADI HIYO ?
Nilichukua muda kidogo kuweza kuvuta pumzi na kutoa maoni yangu kuhusu interview ya TRA.
Kwanza nianze kwa kuwapongeza mliochaguliwa ni bahati na inapaswa kumshukuru Mungu.
Binafsi tukianza na interview ya TRA iliyopita niliikosa kwa marks 0.5 iliniuma sana ikabidi nikubaliane na hali na kujipanga kwa interview inayofuata na namshukuru Mungu nilifanikiwa kutinga oral ambayo leo imetoka ila bado Mungu hakunipa kibali cha kuwa miongoni mwao na kwakuwa nimegraduate muda mrefu sasa huenda nikaangazia mambo mengine.
Shuhuda za status (Selected for Null then Selected for practical then Selected for null then Selected for practical) Je, status zina determine selection? bado ni fumbo!
Kila la kheri mnaosubiria pdf na wale mnaotarajia kwenda kwenye oral interview.
Hello ndugu pole lakini usikate tamaa believe me hiyo ya TRA haikuwa katika mpango wa Mungu kwako bali muombe Mungu bila kuchoka atakupatia nafasi nyingine kadri ya mapenzi yake.Mie ni Muhenga but I feel your pain iliwahi kunipata miaka hiyo late 90's wakati TRA imeanzishwa nikiwa hoi nafanya kibarua katika kampuni za wahindi mitaa ya Stendi ya Kisutu(Miaka hiyo mabasi ya Moshi Arusha yalikuwa yanaanzia hapo) nikawa nimeitwa interview TRA lakini nikachelewa kufika interview kwa sababu ile barua ya Invitation ya Interview iliyotumwa kwa REGISTER ya POSTA(Wakati huo hakuna mitandao wala simu za mikononi) nilichelewa kuipata kwani Box ya Posta niliyotumia ndugu hawakunitafuta kunipatia hiyo barua,hivyo siku moja nilipopita kwa hao ndugu nikakuta naitwa interview lakini deadline ilikuwa imepita kwa siku moja na nilipoenda Chuo cha Kodi Mwenge nikakuta walishafunga zoezi nikajaribu kujieleza lakini it was too late.Najikaza kua niko strong ila kiukweli this is more than pain kwa yanayonisibu right now.
Nina madeni chungu nzima na hata sikopesheki.
Wife mwezi ujao anajifungua sina pesa .
TRA lililokua tumaini langu nimedondokea pua .
Sijui what next.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app