HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ahsante sana baba

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Umefanya kazi kubwa ya kitume.
 
Dah,bad enough..kuna kiconnection ningekupa sema kako mkoani na kwa malipo yake inatakiwa mtu ambae walau ana makazi kwenye mkoa husika.
Nlitaman kujua kuhusu ili but napata restriction kukuchek pm, kama unaweza kunichek mkuu
 
Kumbe hata wewe ume-note hilo? Yani hii pdf ni kama walikuwa hawajaiandaa vile au walikuwa wanataka kufanya modifications kadhaa. Hapa inaleta hadi ukakasi kwa kweli.
 


Mkuu unavyojiskia ni kawaida kabisa kwa mtu aliyekosa, usijali zamu yako itafika
 
Hao ICT Officer si ndo walipita toka practical kwenda oral watu 48 ilhali post ilitaka watu 50? Naona hapo wamepata watu 39 tu.
Nadhani hawa ndo wamejazilizia kwenye TMO maana nafasi zilikuwa 184 ila wameita 187
 

Hii post umepiga ndege wengi Kwa jiwe moja mkuu. Ahsante sana Kwa kutupa moyo.

BINAFSI pia wiki iliyopita nilikuwa napitia wakati kama huu anaopitia ndugu yangu Twinawe baada ya placement za Bodi ya Mikopo kutoka na JINA langu kutokuwepo. Kiukweli niliumia sana moyo hadi kuhisi pengine ni mkosi/gundu.

Nashukuru kwa sasa Ari imerudi na mapambano yanaendelea
 
Hao ICT Officer si ndo walipita toka practical kwenda oral watu 48 ilhali post ilitaka watu 50? Naona hapo wamepata watu 39 tu.
Na hichi kitu kilikuwa kinaniwazisha, kuwa tumepita wachache kwenda oral, je itakuwa ndo guarantee ya kupata wote?, Niliwahi kuuuliza humu JF watu wakaniambia niandae Suti nimeshapata..
Ni kweli nimepata lakn haikumaanisha wote tulienda oral tumepata!! Na nili relax mno nikijua sababu tupo wachache watatuchukua wote hata maandalizi ya oral yalikuwa Yale ya lasha lasha sana, naweza nikasema ni Mungu tu na experience ya kufeli interview za utumishi kibao ndo imenisaidia kujibu Yale maswali
Lakin Ushauri wangu kwa watakaokutana na situation kama hyo mmeingia wachache kwenye oral kuliko nafasi zilizopo.. bado kukaza kunahitajika palepale .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…