HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hiyo ni kwa mustakabali wako na afya yako. Nimekupa tu angalizo haya mambo si ya kushikilia sana bango, yakija ndivyo sivyo inaumiza mnoo.

Kama kijana mwenzangu hakuna makosa kuulizia m-pdf wa placement, ni haki yako maana umeshatimiza wajibu wako katika kuhudhuria na kushiriki katika mahojiano.
 
Hahaha nafahamu kaka,mbona nishapigwa tayari niliyowahi ingia oral so tayari Nina experience ya kutosha kwenye kusubiri na kupokea matokeo.
 
Tunafurahi sana sana sana kuona comments za "Nimepata kazi, ajira" na tunawapongeza sana sanasana wote mliopata kazi, ajira mkawe watumishi wema na wenye uadilifu.


LAMSINGI:
Unapofanikiwa kupata kazi unacomment nimepata kazi we are glad for you!
Ila kuna jambo la muhimu sana baadhi yetu huwa tuna miss mfano, umefanikiwa kupata kazi, basi share experience yako ili wengine wajifunze na wajue walikosea wapi, namna ya kujibu maswali, handling, ilikuaje mpk ukafanikiwa ingawa iko personal lkn hata kwa uchache tutaweza kujifunza ili next tufike woote humu. Hiki kipindi ndio kizuri cha kutupa huo uzoefu ukishaanza majukumu utasahau, tusaidianeni hivyo wakuu.

PROUD:
Kuna wadau tumeona wakifanya hivyo na tumejufunza mengi kutoka kwao naamini tukiwa wengi, tutajifunza zaidi, maana kusoma tu wote runasoma but cha ziada kipo tusharee nasisi tufanikiwe.
 
Kama ameitwa UT, namshauri aende chap kwani ni afadhali kupigania na kukilinda ulichonacho mkononi kuliko kusubiria kile ambacho hauna uhakika nacho. Unless PSRS wangekuwa wanatujulisha umefaulu Oral, hivyo subiria utapangiwa kituo cha kazi kadri ya nafasi zitakapopatikana. Lakini hali ipo tofauti kabisa, mtu unafanya oral hadi tatu na hawasemi upo kanzidata, ume-fail sahili zote au kuna mchakato unaendelea lakini utapangiwa kituo.
Kwa kweli ni vitu vya kusikitisha sanaaa kwa vijana wa nchi hii ambao wengi wao wanaosaka hizi ajira wamesoma kwa tabu na wanatokea familia hoe hae.
 
Kabisa , si kawaida mamia ya watu au maelfu wanaenda kugombania nafasi 1au mbili ,hii ni abnormality na failure kubwa katika mfumo wa ajira na uchumi kiujumla
 
familia hoe hae mkuu
 
luaga mpina AkA Mfwende.....
Hujatupa feedback ya UT kaka
wakuu sijaondoka na bogi la uhamiaji
Pole kaka usikate tamaa,najua ulipenda sana kuwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,lakini Mungu ndiye anaamua Sisi tunaenda wapi.
Wewe mwenyewe unajua jinsi gani watu pia tulikuombea Kheri.

Tuendelee kusubiri PDF la Utumishi.
 
i
Pole kaka usikate tamaa,najua ulipenda sana kuwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,lakini Mungu ndiye anaamua Sisi tunaenda wapi.
Wewe mwenyewe unajua jinsi gani watu pia tulikuombea Kheri.

Tuendelee kusubiri PDF la Utumishi.
Thank u champ, ila udini umetawala wazee ambao hamjaona mkaicheki pdf akina makame,mbaruku ni balaa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…