Mungu ni mwema Mkuu, haujui chenye kheri ni kile Mungu atakupangia Mkuu, najua majeshi hayajawahi kutuacha salama hutuachia element za kijeshi kutaka kuishi kwa kufanana na kuendenenda katika miiko yao ila yapo maisha nje ya majeshi na ni mazuri sana.Thank u champ,utumishi sio priority yangu kabisa. lkn inaonekana kuna ugumu sana kutusua upande wa vyombo vya ulinzi
Ahsante kiongozi, kzuri ni kwamba na moyo mpana nimeiva kwenye upokeaji wa taarifa ziwe positive ama negative sideMungu ni mwema Mkuu, haujui chenye kheri ni kile Mungu atakupangia Mkuu, najua majeshi hayajawahi kutuacha salama hutuachia element za kijeshi kutaka kuishi kwa kufanana na kuendenenda katika miiko yao ila yapo maisha nje ya majeshi na ni mazuri sana.
Dah hatariThank u champ,utumishi sio priority yangu kabisa. lkn inaonekana kuna ugumu sana kutusua upande wa vyombo vya ulinzi
Muache aende mruhusu aende yaani kama umemuelezea situation akaona bora aende muache aende Mkuu, una maisha mazuri ahead utapata wa kufanana na wewe ila akikikuvumilia katika hii transition period hakikisha unamuenzi unapokuwa kwenye mafanikio.depression,rejection majobless inatutafuna sana,hpa tunapeana mioyo bt uhalisia huku street haloo. ukicheki home hapako freshi ,mahusiano yanasua sua . kukimbiwa na demu wangu kumefika sasaa
Noted champMuache aende mruhusu aende yaani kama umemuelezea situation akaona bora aende muache aende Mkuu, una maisha mazuri ahead utapata wa kufanana na wewe ila akikikuvumilia katika hii transition period hakikisha unamuenzi unapokuwa kwenye mafanikio.
Eeeht Mahusiano yanasua sua 🤣🤣🤣 nimecheka sn maana km kuna Ukweli Flani kila Siku nikikandwa napewa Ushauri mrefu sana.depression,rejection majobless inatutafuna sana,hpa tunapeana mioyo bt uhalisia huku street haloo. ukicheki home hapako freshi ,mahusiano yanasua sua . kukimbiwa na demu wangu kumefika sasaa
Ni kweli mkuu Ni nyakati ngumu sana za mpito, nina washkaji zangu wawili nao walitoswa na wenzi wao ila saivi wako vizuri kiuchumi na wake zao wapya, disapoit pia ni chanzo kizuri cha kukupush kwenye maendeleo kama itatokea usiwaze Mkuu mambo yatakaa tudepression,rejection majobless inatutafuna sana,hpa tunapeana mioyo bt uhalisia huku street haloo. ukicheki home hapako freshi ,mahusiano yanasua sua . kukimbiwa na demu wangu kumefika sasaa
Umefanya Interview ngapi mpk useme hvyomie nmekandwa na kma data base hawajaniweka basi tena maana cwezi kwenda dodoma kupoteza pesa daily.naendelea na udalali wangu tuu mpka mwisho.Status selected for practical
Stay strong, tuhamishie majeshi PSRS.wakuu sijaondoka na bogi la uhamiaji
oral ya tatu hii naona Mungu kanipangia kuwa winga tuu mjini ili watoto waishi ila si haba wacha niongeze nguvu huku kungineUmefanya Interview ngapi mpk useme hvyo
Hakuna kukata tamaa hadi kifowakuu sijaondoka na bogi la uhamiaji
Unapokuwa na nafasi usisite kufanya wala usisite kutuma Maombi kila uonapo Tangazo Japo unapofanya hivyo usizingatie fanya km unatoa Lawama U nvr knw nini kitatokea.oral ya tatu hii naona Mungu kanipangia kuwa winga tuu mjini ili watoto waishi ila si haba wacha niongeze nguvu huku kungine
lawama ni cost za kwenda dodoma tuu mengne hayo try and error katika gemu kawaida tuuUnapokuwa na nafasi usisite kufanya wala usisite kutuma Maombi kila uonapo Tangazo Japo unapofanya hivyo usizingatie fanya km unatoa Lawama U nvr knw nini kitatokea.
Mkuu hakuna kukata tamaa hata mimi nimefanya niteview nne na nne sikuwa shortlisted moja tu ndio nimefanikiwa kuingia oral bado nasubiria hata ikitokea nimekandwa sitokata tamaa kikubwa ukiitwa nenda hatujui Kesho Mkuu, ukiitwa nenda mkuumie nmekandwa na kma data base hawajaniweka basi tena maana cwezi kwenda dodoma kupoteza pesa daily.naendelea na udalali wangu tuu mpka mwisho.Status selected for practical
Tuzidi kuomba Ndugu yangu bado nafasi zipolawama ni cost za kwenda dodoma tuu mengne hayo try and error katika gemu kawaida tuu
hili jina la mbwea linanichekesha kinoma mkuulawama ni cost za kwenda dodoma tuu mengne hayo try and error katika gemu kawaida tuu