HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu kuna kada huwa zinatangaza post 3 tuu kwa mwaka. Na nyingine kwa mwaka mzima hazitangazwi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…