NAOT nafasi zilitangazwa kwa Kiswahili, niliandika Barua kwa Kiingereza, niliitwa.Ety wadau, Kuna mtu Kashindwa kuitwa interview yoyote sababu ya kuandika barua kwa lugha tofauti na ya tangazo la Ajira..?
Kuna dada wangu Mdogo hapa kaniomba nimuombee kazi zilizotoka hivi karibu..
Ntaanza kutafuta mashambaHapo una muda mwingi wa kupiga mishe, utumie
Sio vibaya ila inabidi uje ukubaliane na scale ya mshahara hapo baadae ukiipata hiyo nafasi ya level ya chiniHalafu siku hizi wameondoa ule utaratibu wa kuzuia mtu kuomba level ya chini ya elimu.
Mfano kama umeweka cheti Degree na diploma, now zikitoka kazi za diploma unaomba bila shida
Ununue na viwanja hapo karibu na mjini, ni asset nzuri sana.Ntaanza kutafuta mashamba
Kaka wewe upo wapi?Ununue na viwanja hapo karibu na mjini, ni asset nzuri sana.
Baadae utafurahi mwenyewe.
Pia usisahau kula Bata lakini usizidishe[emoji3][emoji3][emoji3]
Hamna Cha Ajira hapo,, vipost vinyewe wanarudis kutangaza.. ukiritimba wa PSRS kuanzia portal Yao Hadi michakato Yao kuchelewachelewa ndio inasababisha haya yote.Naona PSRS wanazidi kutangaza ajira tuu, Placements ni za kudunduliza
Watu kama hao wanaopenda Mafanikio ya mtu niwa kuwaombea Sana..Ukiinuka inua na wengine.Maisha ni Duara.Kabisa kaka, ulikuwa ukimuaga kwenda kwenye interview, anakubariki kabisa
imefanyaje mkuuStatus
Inakera sana. Re advertise my foot! Kuleta uketa ni maujinga matupuHamna Cha Ajira hapo,, vipost vinyewe wanarudis kutangaza.. ukiritimba wa PSRS kuanzia portal Yao Hadi michakato Yao kuchelewachelewa ndio inasababisha haya yote.
Sasa nafasi wametangaza hawajapata watu au wameleta complications nyingi wanadhani wanavyorudia kutangaza watampata nani tena🤔
Aendelee kupambana bila kuchoka, muda wake wa kupata utafika tu.
Kuna mtu namjua kabisa nae kapiga interview nyingi mno na bahati nzuri alikuwa anafanikiwa kuingia oral karibu robo 3 ya interview alizofanya hadi tukawa tunahisi au Ana overconfidence maana ye kasoma sheria ....si unajua tena wanasheria huwa wanajiamini sana lakini wakati wake umefika kapata za tra custom
moja ya jukumu la PSRS ni kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika utumishi wa umma.badala ya kuweka placement bdo wana tangaza nafasi mpya,hawajamaa sijui wakoje yani
📌moja ya jukumu la PSRS ni kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika utumishi wa umma.
tuwaache wafanye kazi yao kulingana na kanuni zao
yaani wanachofanya utumishi,nikama kumchimbia mtu kisima ukamaliza kwa vifaa na garama zako then badala akulipe. bdo anatangaza tender kwa watu wengine wakisakafie ,huku fundi bdo uelewi kuhusu malipo yakazi yako.moja ya jukumu la PSRS ni kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika utumishi wa umma.
tuwaache wafanye kazi yao kulingana na kanuni zao
hongera kwa oral,vp maswali wameuliza yapii?SITACHECK STATUS HAD PDF IJE
Nitayaweka baadae nikituliahongera kwa oral,vp maswali wameuliza yapii?