sawa , prac niliwakanda 100 naona ntakuwepo kwa mkeka[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi utumishi written tunawachuja tu Baada ya hapo marks zinazofata ndo tunajumlisha kama ni practical na oral na sio written [emoji1787][emoji1787]
Sio kweli mimi mbona written nilipata 51 tu na nimetoboa tra, cdhani kama wanajumlisha ila oral nilifanya vizurHii ni kweli kuna dada wa utumishi nilimwulizaga pale UDOM akasema jitahid upate max kubwa kwenye written maana Oral huwa haitabiliki. Alinambia written + Oral then divide by 2 hapo ndo max zako. Ndomana unaweza kuta unajiamini umetoboa Oral kumbe written ulizingua.
Sawa kama ulipata 💯sawa , prac niliwakanda 100 naona ntakuwepo kwa mkeka[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
kidding [emoji1732]Sawa kama ulipata [emoji817]
Duh we jamaa una kaubishi flani hv...marks z wrtten ni marks za mchujo ukipita written marks unaacha pale paleutaratibu ni hivi uyo aliepata prac 50 wanaangalia na written alipataje... lazma written waangalie kwa kila mtu..
hawawezi kuacha maksi za written kama wadau wanavosema humu.
Anaipigania 70% yake huyo aliyoipata katika mchujo, anataka iwe "opening balance katika account ya oral" 🤪Duh we jamaa una kaubishi flani hv...marks z wrtten ni marks za mchujo ukipita written marks unaacha pale pale
[emoji23][emoji16][emoji23]Anaipigania 70% yake huyo aliyoipata katika mchujo, anataka iwe "opening balance katika account ya oral" [emoji2957]
Unachanganya mabo hapautaratibu ni hivi uyo aliepata prac 50 wanaangalia na written alipataje... lazma written waangalie kwa kila mtu..
hawawezi kuacha maksi za written kama wadau wanavosema humu.
Siyo hivyo... mfano usaili una majopo 10... kila jopo lina wanafunzi 20... wanacombine matokeo ya majopo yote na kupanga max kuanzia aliyepata max kubwa kuelekea ndogo (kwenye oral)utaratibu ni hivi uyo aliepata prac 50 wanaangalia na written alipataje... lazma written waangalie kwa kila mtu..
hawawezi kuacha maksi za written kama wadau wanavosema humu.
Kufarijiana ndo huku tunaenda nae taratibu, maana anasoma kanuni na kunukuu na kutafsiri vile anaona vitambeba yeye.
Kwa programmers/developers kazi zao now days huko duniani zinapotangazwa mara nyingi huwa wanasema wanataka "Full-stuck Developer".Lakini hi sio nzury mfano Wakwanza practical kapata 80 na oral akapata 40 .Alafu mtu mwengine practical 50 na oral 50 .Inaonyesha uyo Alie feli oral na kufaulu practical niye mshind
Lile bato kuna watu mpaka walikua wanaulizwa kama walipata lunch,. Baada ya placements kutoka, uzi utapoa kidogo.bato la status limezimwa,saiz ni written na oral marks,mtalumbana sna lakini hamuwezi fikia ile mbungi la watu wa account zile elements
hahahaa mkuu,sema tusubir mikeka hsa wa data base tunaweza chomoka wengi sana humuLile bato kuna watu mpaka walikua wanaulizwa kama walipata lunch,. Baada ya placements kutoka, uzi utapoa kidogo.
Kuna mwana alietuasa kuhusu kutokuvaa tai nyekundu, alikua moto sana na hizi post za TRA, baada ya kutoka hajaonekana tena, sijui amepata au anaugulia kimya kimya.
kweli na hii hakuna asiyefanya😄😄😄Wale jamaa oral zao ziko straight sana, ukiwa na roho ngumu, ukitoka unatafuta videsa na kupata majibu ya swali la pili mpaka la tano, na kulinganisha na kile ulichokijibu.
Simple tu, unajijua upo ndani ya chaki au tayari umeshaaga mashindano.
kwema afsa leo weekend ujatinga ofsini ?mkuu wanao tunasubir pdf la mhagama tujue pakutokeaJamani kwema humu
Hao wote Wana stahili kupata asali, na sio kUchukua mmojakifungu 15(2).
kuna mtu written alipata 50 ila alilamba asali kwa kuwa alipiga vzur oral. na kuna meingine alipata 80 ila hakulamba asali kwakuwa haku perform vzur oral
let say written 50 + 95 oral = 145
written 80 + 60 oral = 140
mwenye jumla ya 145 ndo mshindi japo hakufanya vzur written