HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ety wadau, hiz kazi zilizotangazwa Jana PSRS za shirika la posta Tz mbona sizioni kwenye mfumo wao.. Kuna mtu kafanikiwa kuomba..?
 
Mbona kimya vijana hamnipi mrejesho huko kuhusu hizo kazi za Posta
 
Ety wadau, hiz kazi zilizotangazwa Jana PSRS za shirika la posta Tz mbona sizioni kwenye mfumo wao.. Kuna mtu kafanikiwa kuomba..?
Washaweka na za MZUMBE pia wameweka ila za mzumbe ukiapply zinagoma hata kana una sifa zote nadhan IT bado hawajaweka mambo sawa
 
Washaweka na za MZUMBE pia wameweka ila za mzumbe ukiapply zinagoma hata kana una sifa zote nadhan IT bado hawajaweka mambo sawa
Yaaah nishaomba.. Kuna dogo Yuko shambahuko aliniomba nimuapplie
 
ECONOMIST GRADE 2 MDAs & LGAs___[emoji120]

1.introduce yourself
2.difference between micro and macro economics
3.individual reason of holding money
4.method for calculating national income
5. Government usually use two economic policies to regulate economy. Mention them
 
UMRI&JINSIA zinaumiza sana watu nyuma ya pazia. Huyo ni jinsia gani na ana umri gani?
 
Hao wote Wana stahili kupata asali, na sio kUchukua mmoja
Kama nafasi ni moja, watatumia kanuni za *Physical ability,
*Gender,
*Age.
Usishangae mwenye wastani mdogo akapangiwa kazi na wenye wastani mkubwa akatupwa database na kusahaulika huko
 
Kama nafasi ni moja, watatumia kanuni za *Physical ability,
*Gender,
*Age.
Usishangae mwenye wastani mdogo akapangiwa kazi na wenye wastani mkubwa akatupwa database na kusahaulika huko
Umri, jinsia na ulemavu utumika mkilingana marks tu. Mwenye miaka 18 anaweza kupata kazi mbele ya mlemavu, mwanamke na mtu mwenye miaka 43 akiwazidi marks
 
Imekaa utamu hyoo,

Sema pale penye 5 points unajikakamua unasogea sogea vikifika 3 hv then unaanza kuload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…