Bila Shaka Umejib vizur ndg yngECONOMIST GRADE 2 MDAs & LGAs___[emoji120]
1.introduce yourself
2.difference between micro and macro economics
3.individual reason of holding money
4.method for calculating national income
5. Government usually use two economic policies to regulate economy. Mention them
Swadakta kijana.Naona unasubiria keka la NIRC, ASA au TARI kijana wa Professor Chimbunda 😁
Ulipiga taasisi gani hapo mwamba..?Swadakta kijana.
NIRC mkuuu,.Uli
Ulipiga taasisi gani hapo mwamba..?
Nyie naona mapema linaachiwa maana Waziri aliwatetea kimtindo.NIRC mkuuu,.
Tusubiri adi pdf litoke kwanza,tuone kama nimelamba asali au sikulamba,kujua kama upo bado ni fumboNyie naona mapema linaachiwa maana Waziri aliwatetea kimtindo.
Andaa tu hela ya nauli mkuu ukafuate barua yako
We ulifanya ipi?Nyie naona mapema linaachiwa maana Waziri aliwatetea kimtindo.
Andaa tu hela ya nauli mkuu ukafuate barua yako
Kila la heri kijana.Hizo taasisi hata sipo.
Nasubiria zaga la Chuo Cha Mzee wa Msoga
Hongera sana, nakutakia kila la kheriUtaingia tu, mimi nimechezea ndoige kadhaa, ila sasa nimeweza ingia oral, kesho pia nina oral.
Mfano oral ya jana ilikuwa ya kawaida, kesho namalizia ya pili na kikubwa wametwambia ni week tatu tu, placement tayari.
Nilijua ni pdf la November hili.
ahahaha la jenista mhagama piaNilijua ni pdf la November hili.
Tushafanya ya kwetu,tunamuomba Mungu ajalie.Nilijua ni pdf la November hili.
ili pdf la waziri litajumuisha kada zipi ? au ni zoteahahaha la jenista mhagama pia
Itakua zoteili pdf la waziri litajumuisha kada zipi ? au ni zote
Vijana wamechoka kuulizia placement wamesbri mpk wamechoka ss...utumishi wanahitaji uvumilivu A+Kwema?
Taasisi zote kuna sehemu nyingine watu hawaja report kazini nafasi zimerudi utumishi kuna idara nyingine vibali vyao vipo mezani ila hazijatangazwa kwa kuwa watu wapo Database wenye sifa so usishangae mtu ukala hata shavu afisa mtendaji kigoma kijijini popote kambi tuili pdf la waziri litajumuisha kada zipi ? au ni zote
Mhhh huko Maporini watu hawatakiTaasisi zote kuna sehemu nyingine watu hawaja report kazini nafasi zimerudi utumishi kuna idara nyingine vibali vyao vipo mezani ila hazijatangazwa kwa kuwa watu wapo Database wenye sifa so usishangae mtu ukala hata shavu afisa mtendaji kigoma kijijini popote kambi tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mhhh huko Maporini watu hawataki