mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
kwa hii pumzi ya moto ya kitaa naenda kuripoti hata gamboshiTaasisi zote kuna sehemu nyingine watu hawaja report kazini nafasi zimerudi utumishi kuna idara nyingine vibali vyao vipo mezani ila hazijatangazwa kwa kuwa watu wapo Database wenye sifa so usishangae mtu ukala hata shavu afisa mtendaji kigoma kijijini popote kambi tu
Asante sana bossKaribu kwetu UYOLE AHMET
Hongera sana Dom pazuri sanaDom mkuu
Huu usahili form six leaver wa ECA au HGE anajibu na anapata 100% kabisa mim sio mchumi ila knowledge yangu ya advanced level economics tena ile ya kitabu cha ambikile ningetoboa
Gharama za maisha zipo juu sana aiseeHongera sana Dom pazuri sana
Huu usahili form six leaver wa ECA au HGE anajibu na anapata 100% kabisa mim sio mchumi ila knowledge yangu ya advanced level economics tena ile ya kitabu cha ambikile ningetoboa
Yeah Dodoma maisha yako juuGharama za maisha zipo juu sana aisee
Atakayenufaika ni yule aliyejiandaa kwa kusoma kila topic, bila kuruka hata karatasi. Wale wa kulenga, hapo lazima upambane na kigugumizi,.Walikua watu wengi sana oral wakaja na maswali ambayo hutegemei. Wamecheza na saikolojia ya watu hapo wengi wamekutana na Ndoige
Labda washakuona unawadanganya,,, yaan hujui unatoa points za uongo.Hello guys;
Hivi ukiwa unajibu swali liwe la ku mention au kuexplain na kabla ya kulimaliza let say wamesema mention five points ukataja two tena kwa speed Ile unaenda ya tatu panelist mwingine anasema another question hii maana yake Nini?
Sasa kwann waskip namna hyo wakati wewe unajibu na unatoa majibu Sasa. Basi itakuwa Kuna shida wanayoijua wenyeweHapa nazungumzia swali linalojulikana na ambalo liko open kaka.
[emoji23][emoji23]kwa hii pumzi ya moto ya kitaa naenda kuripoti hata gamboshi
hongera sana asee Mungu akutangulieUtaingia tu, mimi nimechezea ndoige kadhaa, ila sasa nimeweza ingia oral, kesho pia nina oral.
Mfano oral ya jana ilikuwa ya kawaida, kesho namalizia ya pili na kikubwa wametwambia ni week tatu tu, placement tayari.
Huo mkoa hapana asee.Gharama za maisha zipo juu sana aisee
Leo placements ni uhakika,, ni Suala la muda tuleo sijui kutakuwa na placement mpya
ngoja tuone afsaLeo placements ni uhakika,, ni Suala la muda tu
Sijui kwanini iko hivi ila mkoa ni wa kawaida sanaHuo mkoa hapana asee.
Kuna kipindi nilikaa siku 3 tu nikashangaa 150k imekata.
Sijui kwanini iko hivi ila mkoa ni wa kawaida sana
Huenda ni kwa sababu ni mkoa unaotegemea kulishwa na mikoa mingine mfano vyakula vingi hapo Dodoma vinatoka Mbeya,Njombe,Iringa na Morogoro.Sijui kwanini iko hivi ila mkoa ni wa kawaida sana