HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ivi zile placement 1700 alizosema wazir zinatoka kwenye database ni pamoja na TRA na REA walizozitoa?
Kwani hizo zimetoka kanzidata? PDF la waziri linahusisha kanzidat msichngnye mambo?
 
Database;
1.Ulifaulu Usaili Na Ukahifadhiwa As Reserve
2.Ipatikane Nafasi Kwenye Tasisi Yoyote Yenye Kibali Cha Kuajiri Kulingana Na Kada Yako Ambayo ulifanyia Usaili Na Ukafaulu Kwa Kipindi cha mwaka 1.Toka Majibu Ya Usaili Uliofanya Na Kukosa Nafasi Ingawa Ulifauli(Uchache).
Kwahy Database Itakuwa Taasisi Ambayo Inakibali cha Kuajiri Kwa Kada Flan Na Hiyo Nafac Haijatangazwa Sababu kuna Watu Kwa Datasabe.
Simple Ukiona Kada Imetangazwaa.
Ujue Haina Watu Kwa Database Kulingana Na Qualification Wanazotaka.
Au Hiyo Taasisi Inataka Watu wengi Na Waliopo kwenye Database Hawatoshelezi(wachache)
 
jaman kuajiri watu 1700 kutoka data base sio mchezo, kama juzi walikaa kikao hali ni ngumu, interview za mwaka 21/22 placement hazijatoka/ expectations hazijafikiwa, halafu itoke data base ina 1700.

Kuna wakat mwingine sipendi kuota mchana.
 
Mbona wanauwezo wa ku mark watu 8,000 ndani ya week mbili na kutoa majibu ije iwe kitu ambacho mfumo unawasaidia sorting and allocating?
 
Ivi zile placement 1700 alizosema wazir zinatoka kwenye database ni pamoja na TRA na REA walizozitoa?
Mi nazani waziri alikuwa sahihi, ila alimanisha pamoja na TRA na REA na taasisi zingine ambazo zinasubir placement kwamaba wanaweza fanya placement 1700 this month.

Ila ni mawazo yangu tuuu.
 
Waziri alisema sasa hivi bajeti inayotumika kuajiri ni 2021-2022
 
Mbona wanauwezo wa ku mark watu 8,000 ndani ya week mbili na kutoa majibu ije iwe kitu ambacho mfumo unawasaidia sorting and allocating?
Hapana sijamaanisha upande wa kuwapata waajiriwa. Ila kama umeiona ile video waliopost humu, inaonesha hawajafikia malengo ya kuajir ya mwaka wa fedha uliopita, na kuna taasis nyingi zinasubir placement na miezi ii miwili ya mwaka huu interview zimefanyika nyingi sana wote wanasubir placement. Mm mawazo yangu ni kuwa watachukua watu data base wa kutosha ila nafasi za TRA na REA na placement zinazokuja zitakua ndani ya io idadi ya 1700.
 
Mzee baba umetisha sana. Hizi zinaonyesha ni za ndani kabisaaa
 
Za ndaniiiiiiiiii kabisa. Chief unaonaje ukaitaja hii taasisi ya 500+ kama hutojali
 
Mi nazani waziri alikuwa sahihi, ila alimanisha pamoja na TRA na REA na taasisi zingine ambazo zinasubir placement kwamaba wanaweza fanya placement 1700 this month.

Ila ni mawazo yangu tuuu.
Nafasi Ya Database Huwa Haitangazwi Na Kuanza mchakato wa Kugombania yan usaili.
So Nafasi Zote Zilizotangazwa Na Taasisi Na Watu Kufany Interview Mpk Placement Huwa Sio Database.
Database Nafasi Zake Hazitangazwi na Kugombania Kwa Usaili.
Ni Swala La Tasisi X Inataka Mhasibu,Utumishi Anangalia kama Kuna Kijana Alifanya Usaili na Kufaulu Kwa Kada ya Uhasibu Bhac Taasisi Inapewa Huyo mtu Bila Hiyo Nafasi kutangazwa na Kufanyiwa Usaili
Toa TRA Na REA Na Taasisi Nyingine Zilizotangaza.
Dereva Aliyefanaya Usaili TRA Anaweza Kosa Hizo Za TRA Akajikuta Amendaa TPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…