HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Waziri alisema sasa hivi bajeti inayotumika kuajiri ni 2021-2022
Yap ndo point yangu ilikua hapa kama malengo ya 21/22 hayajafikiwa napata ugumu kuamini 1700 wote watatoka data base kulingana na hali ya uchumi wetu. Watu 1700 kwa wakati mmoja kuwa ajiri far away kwa placement zilizotoka za TRA na nyinginezo basi nchi yetu uchumi wake utakuwa upo vizur.
 
mkuu umeiva vibaya
 
Sidhani kama itakuwa kwa mkupuo, au kama watawachukua wote ujue hakutokuwa na kazi zitakazo tangazwa hadi mwakani
 
Hata idadi ya mwaka Jana TRA 2100 naona hawajafikia kabisa
 
mkuu 1700 unaona nyingi?
polis wankibali cha ajira 3000, jwtz 6000, magereza 1200 wameajir kwa mkupuo . mbona jk alikua anakomba 40000 walimu kwa mkupuo
 

Kuna Muda Shida Ipo utumishi na Kuna Wakati Ni Taasisi Husika.
Mfano Nafasi Zinatangazwa watu hawafaulu kwa viwango vinavyohitajika Shida ipo kwa nani hapo.
Muda unaenda Nafasi zinakuwa re_advertising.
TRA si Wanadai Madereva Tu .
Ila Inawezekana Ukatoka Mkeka 1 Unatasisi zote zilizofanya Usaili Na Hizo Nafasi Za Database.
Mkeka Ukawa na Taasisi 30+
 
Nalifafaham ili kaka, ila kama nilivo sema awali waziri alisema watatoa 1700 this month from data base waajiriwa, so hayo yalikuwa mawazo yangu kulingana na mazingira yaliyopo na clip nilivoielewa mm ya kikao walichokaa. So lets wait and see this february tumebakiza siku 8.
 
Bajeti Ilishapita Muda Hapo Serikali Ndo Inafelisha vijana maan nafac za mwaka ujao wa 2023/24 Zinapelekwa utumishi na bungeni ili zipite kwny vibali kuanzi mwezi wa 2. Wa 4 Bunge linanzaa kujadili na kupitisha bajeti kuu then wa mwez wa 7 Hiyo Bajeti inabidi ianzee kutekelezwa.
Hapo Utumishi inavychelew kuita watu kazini na Bajeti zilipitishwa muda mrefu upande 1 unafifisha maendeleo na Upande mwingine hizo pesa za mishahara ambazo zilitengwa zinafanya kazi nyingine mpk watu wapatikane.
Sasa fikiria leo tupo 2022/23.
Waite watu wa 21/22. Huoni kuna Gape la Mishahara Kwa utofauti wa utekelezaji wa Bajeti.Kupishana Kimuda??
Ila Kwa Mwaka 22/23 Yan Mwaka huu unaoisha mwez wa 6 nafasi nia chache ni 30000.
Tu.Kwa Serikali Nzima na Bajeti ya 2021/22 Zilikuwa 45000.
Hapo Ni Kwa Ujumla Kada Zote Walimu,Vyombo vya ulinzi Mpaka zinazisimamiwa na Sekretariati.
Hao TRA Ni Sehemu Ya Kibali Cha Ajira 2100.
Mwanzo Walichukua almost 1600 Na Mkeka Wao ulitoka mwaka Jana mwรจzi wa 4. Wao Walikuwa Wanawadai utumishi na bahati mbaya wengi walidondokea pua ila interview ya awali hapakuwa na watu wengi kwa Database wa kufanya coverages Ya Hizo 600 Zilizotangwa tena.
 
mkuu 1700 unaona nyingi?
polis wankibali cha ajira 3000, jwtz 6000, magereza 1200 wameajir kwa mkupuo . mbona jk alikua anakomba 40000 walimu kwa mkupuo
kaka majeshi lazima ya ajiri kila mwaka, especially jw kila nchi lengo lao ni kuwa na jeshi kubwa, police hawajaweka idadi wanataka wangapi, magereza pia toka mwaka jana hawajatimiza kibali chao cha kuajiri kama sikosei.


Ila sio mbaya, tumebaki na siku 8 let see.
 
Halafu kaka kumbe umenielewa kumbe unajua kuna ugumu somewhere, ndo icho nachoongelea mm nakua mgumu kuamni kwenye huu ugumu uliopo kupata 1700 waajiriwa from data base ila kama kiporo kingekuwa hakipo mm nani nisiamini.
 
wanatukomoa tyuu wao wanashida ganiii ujanja ujanja mwingiiii maneno mingiiii.
Kisaikolojia hizi furukushani za utumishi zinashusha mori wa vijana kwenye mambo yao.
Unamtesa kijana zaidi ya miezi minne kusubiri placement, kazi hapati na mambo yake yalishadolola kwa sababu ya mawazo. Alafu vijana wakifanya yao wanalaumiwa serikali iangalie hili swala. ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
sawa luteni, kibali cha polisi ni 3000 kilitangazwa kwenye gazeti la serikali (habari leo-TSN) magereza 1000 tayari wnamalizia mafunzo kiwira. niseme tu ajira 1700 sio nyingi mkuu. basi tu sababu saiz ajira zinatoka kwa kulenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ