Nakubali kaka tuna siku 8 lets wait and see.sawa luteni, kibali cha polisi ni 3000 kilitangazwa kwenye gazeti la serikali (habari leo-TSN) magereza 1000 tayari wnamalizia mafunzo kiwira. niseme tu ajira 1700 sio nyingi mkuu. basi tu sababu saiz ajira zinatoka kwa kulenga
ngoja tuone mkuuHuwa hawajui hawa bogi huwa lina mtu 6,000
kweliiMi kwa siasa za bongo wala hata siweki imani 100% zikitoka herii kama siasa pia herii tuzidi t kupambna na kuomba mung maisha yasogee
Na mtu alikuwa haendi kuripoti. kazi zilikuwa unafanya kuchagua hahaSio tu 6000 kuna nyakati walikua wanaajiwa walimu madoctor ma nurse wote walio graduate🙂🙂🙂🙂🙂, bil kuomba kazi.
hii kitu sio sawa kabisa sema ndo tumeshika makali wao wameshika mpiniutumishi wamepukutisha ka saving kangu kote ku funds michakato ya sahili zaidi ya tatu domu,ila placement bdo imekua giza nene
tatizo placement zinachelewMim jamani sijakataa kama nchi yangu inaweza kuajiri 1700, najua inaweza kutoa ajira nyingi kwa wakt mmoja ukiangalia kwa walimu majeshi, hata PSRS anajitaidi sana kama mngekua mnajumlisha idadi anayotoa kwa miezi miwili mngenielewa, wanatoa ajira nyingi sana, ila sijafanikiwa kuona video yote ya kile kikao, kama ulisikiliza clip iliotumwa kwenye uzi huu, itakua rahisi kunielewa na maanisha nn.
Waliambiwa wajitathmini utendaji wao...kwa vibali vya ajira vilivyotoka je ni kiasi gani wamefnkiwa kuendesha mchakto wa ajira na vingp vimebakia wafnye nn kuongeza ufanisi ili kuweza kufikia malengoMim jamani sijakataa kama nchi yangu inaweza kuajiri 1700, najua inaweza kutoa ajira nyingi kwa wakt mmoja ukiangalia kwa walimu majeshi, hata PSRS anajitaidi sana kama mngekua mnajumlisha idadi anayotoa kwa miezi miwili mngenielewa, wanatoa ajira nyingi sana, ila sijafanikiwa kuona video yote ya kile kikao, kama ulisikiliza clip iliotumwa kwenye uzi huu, itakua rahisi kunielewa na maanisha nn.
hzi sahili inatakiwa uwe una mishe nzuri tu ya kukupushi cost za usahili wa utumishi ama uwe na familia imara kukupiga tafu, nje na hpo utauza mpaka simu kugaramia usahilihii kitu sio sawa kabisa sema ndo tumeshika makali wao wameshika mpini
mi naona kama ingekuwa mchakato unafanyika ontime gharama sio ishu coz tunajua hatuwezi kupata wote lkn mambo yakusubiri kwenye hamna ndo mambo ya ajabu wanazingua sana hapahzi sahili inatakiwa uwe una mishe nzuri tu ya kukupushi cost za usahili wa utumishi ama uwe na familia imara kukupiga tafu, nje na hpo utauza mpaka simu kugaramia usahili
Kwa kunisaidia au mawazo yako unazani kwann malengo hayajafikiwa?Waliambiwa wajitathmini utendaji wao...kwa vibali vya ajira vilivyotoka je ni kiasi gani wamefnkiwa kuendesha mchakto wa ajira na vingp vimebakia wafnye nn kuongeza ufanisi ili kuweza kufikia malengo
jaman kuajiri watu 1700 kutoka data base sio mchezo, kama juzi walikaa kikao hali ni ngumu, interview za mwaka 21/22 placement hazijatoka/ expectations hazijafikiwa, halafu itoke data base ina 1700.
Kuna wakat mwingine sipendi kuota mchana.
1.Urasimu tu ni mwingi.Hapa Ni Sera Zao Na Kanuni Hawazitekelezi ipasavyo.Week 3 After oral ni placement.Kwa kunisaidia au mawazo yako unazani kwann malengo hayajafikiwa?
1.Urasimu tu ni mwingi.Hapa Ni Sera Zao Na Kanuni Hawazitekelezi ipasavyo.Week 3 After oral ni placement.
2.Taasisi Zenyew Labda Hazipo Active Kufatilia Ajira Zao Utumishii Baada ya kupeleka vibali.
3.Uchache Wa Baadhi Ya Watu Kwa kada flan Re advertising nyingi au Watahiniw kukosaa maarifa kutoboa hizo saili,Paper Ngumu
Ndugu hiyo Haijulikani.Swali ni kwamba unajuaje kama upo database?? Una matokeo ya Oral?? Hapa ni kama ndoto za mchana.
mwaka mzima unawaza kazi ambayo hauna uhakika nayoUtumishi wanakwama sana bora warudishe tu kila taasisi ufanye michakato ya ajira maana utumishi wako slow sana.
mambo ya ovyo kabisamwaka mzima unawaza kazi ambayo hauna uhakika nayo