HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mzigo unakuja mwamba kaa kwa kutuliaa tu
 
Itatoka Pdf 1 Ikiwa na Full Taasisi Zote za mwaka jana mwishoni Na hao Wa Database.
Sio Lazima watoe Kila mkeka Na Watu Wake.
Inawezekana ikawa kuitwa kazini taasis mbalimbali then Majina ni Almost 2000+.
Ukijumuisha na hy Database Yao.
 
Yaah kbsa watamix mix na unawez ukaja mmoja wa databse full
 
Itatoka Pdf 1 Ikiwa na Full Taasisi Zote za mwaka jana mwishoni Na hao Wa Database.
Sio Lazima watoe Kila mkeka Na Watu Wake.
Inawezekana ikawa kuitwa kazini taasis mbalimbali then Majina ni Almost 2000+.
Ukijumuisha na hy Database Yao.
Hili pdf litakua tamu sana na kuwalambisha utamu wa asali vijana weng wenye maumivu makali ya joto la kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…