Hamna kk kuna wanaopata kuptia hiyo database pasina kuchomekwa au kupenyezwaBinafsi sio muumini wa hio "database" naiona kama ni mwanya tu wa upendeleo na kujuana katika ulimwengu huu kupata ajira kwa njia ya ushindani.
Sijakaa wala sijakubali, ni vile tu binafsi sio muumini wa kuamini hiyo kitu.Hamna kk kuna wanaopata kuptia hiyo database pasina kuchomekwa au kupenyezwa
Good mind set brother, ikitokea heri isipotokea heri pia.Sijakaa wala sijakubali, ni vile tu binafsi sio muumini wa kuamini hiyo kitu.
Fikiria hii kitu, miaka ya nyuma ilikua kila kada lazima mkutane na swali la research katika usaili, kikatokea cha kutokea, ukaja huu mfumo wa sasa wa maswali ku-base katika kada husika bila kuhusisha hilo la research.Good mind set brother, ikitokea heri isipotokea heri pia.
Hiyo kauliza swali tu kwamba katibu w bunge anaweza kua muhasibu TIA...lakni uhalisia watu hupangiwa kutokana na sifa zao kama sifa zinaendana unapewa tu kitengoFikiria hii kitu, miaka ya nyuma ilikua kila kada lazima mkutane na swali la research katika usaili, kikatokea cha kutokea, ukaja huu mfumo wa sasa wa maswali ku-base katika kada husika bila kuhusisha hilo la research.
Halafu leo uniambie yule alieko database kwa kufaulu usaili wa Katibu msaidizi wa bunge II, tumpleleke taasisi fulani kwa nafasi ya Mchumi II, kwangu mimi binafsi haina maana kabisa.
Pole sana aisee.....Ukifanya jambo unapopata mrejesho kwa wakati unapata amani.utumishi wamepukutisha ka saving kangu kote ku funds michakato ya sahili zaidi ya tatu domu,ila placement bdo imekua giza nene
Hiyo kauliza swali tu kwamba katibu w bunge anaweza kua muhasibu TIA...lakni uhalisia watu hupangiwa kutokana na sifa zao kama sifa zinaendana unapewa tu kitengo
Fikiria hii kitu, miaka ya nyuma ilikua kila kada lazima mkutane na swali la research katika usaili, kikatokea cha kutokea, ukaja huu mfumo wa sasa wa maswali ku-base katika kada husika bila kuhusisha hilo la research.
Halafu leo uniambie yule alieko database kwa kufaulu usaili wa Katibu msaidizi wa bunge II, tumpleleke taasisi fulani kwa nafasi ya Mchumi II, kwangu mimi binafsi haina maana kabisa.
Kwa ninavojua, kama kuna kazi yoyote itaitaji mtu mwenye course yako, bila kujali ulifanya usaili wa kada ipi wanakuchukua mradi uwe umefaulu. Mfano unawez ukawa umefaulu na nafasi ikapatikana ila vigezo huja kidhi wata hitisha usaili, mfano ww n BSC statistics una gpa 3.0 ikapatikana nafasi ya kufundisha chuo tutorial wa bsc statistics but hujafikia gpa na hujafanya usaili wa kuwasilisha mada umefanya usaili wa kawaida, wataitisha usaili na ww utabak data base kusubir nafas z kawaida ufaulu 50Fikiria hii kitu, miaka ya nyuma ilikua kila kada lazima mkutane na swali la research katika usaili, kikatokea cha kutokea, ukaja huu mfumo wa sasa wa maswali ku-base katika kada husika bila kuhusisha hilo la research.
Halafu leo uniambie yule alieko database kwa kufaulu usaili wa Katibu msaidizi wa bunge II, tumpleleke taasisi fulani kwa nafasi ya Mchumi II, kwangu mimi binafsi haina maana kabisa.
@Orosso kwa TRA sawa lakini kwa TPA hapana. Sikumbuki kama TPA wamewahi kuajiri watu wengi kwa mara moja achilia mbali Ile iliyokuwa na operations officer II na kada nyinginezo ambazo hazikua nyingi. So, basically ni TRA pekee iliyoajiri namba kubwa kwa miaka ya karibuni. I stand to be correctedYeah hiyo ni sababu moja wapo. Ukitoa TRA na TPA ambao kwa miaka ya karibuni wamekua wanaajiri wengi kwa mara moja. Taasisi nyingi zinaajiri watu 10-50 kwa kada zake nafasi moja au mbili, kwa vibali vinavyojitegemea, vinavyosota katika ngazi mbali mbali huko utumishi.
Leo useme utachukua watu 1700 kanzidata, maana yake vibali vingi itabisi wavi- nullify.
Sifa zipi mkuu,. Academic Qualifications au zipi, nipe kisomo hapa.Hiyo kauliza swali tu kwamba katibu w bunge anaweza kua muhasibu TIA...lakni uhalisia watu hupangiwa kutokana na sifa zao kama sifa zinaendana unapewa tu kitengo
[emoji38][emoji38][emoji38], kila la kheri jombaaaa...Yaani hii nchi adi navirugwa, siku 8 banaa,
Nishaanza kutafuta mteja atakae nunua getho zima na uhakika nipo database. Na najua ntapangwa mkoa mwingine[emoji846][emoji846][emoji846].
🤣🤣🤣🤣[emoji38][emoji38][emoji38], kila la kheri jombaaaa...
MUNGU simama nasisiPole sana aisee.....Ukifanya jambo unapopata mrejesho kwa wakati unapata amani.
Hata mimi nimefikiria kama wewe, nikaamua kutokuwa muumini wa hii kitu. Anyway, Mr. Kitenge afanye kitu, 1700 watoke huko "database".Kwa ninavojua, kama kuna kazi yoyote itaitaji mtu mwenye course yako, bila kujali ulifanya usaili wa kada ipi wanakuchukua mradi uwe umefaulu.
[emoji4], weeee hizo ni nyepesi nyepesi au ni za ndani kabisa??Kama unanjijua una selected for practical, sijui oral, mara null.
Anza kukopa utawalipa na ela za tranning baada ya week ijayo coz j5 data base ina shuka na raia 1700+, na ww upo.
Sidhani kwa kwelii ,lakini pengine inawezekanahvi kuna mwenye null na practical saiz?
Naona wamerekbisha zile null sidhn kama zipo badoSidhani kwa kwelii ,lakini pengine inawezekana
Naona wamerekbisha zile null sidhn kama zipo bado
hiki ndicho kilio cha wengiBut it will be better waweke status after oral kama ilivyo after wrtten or after pract....SELECTED FOR DATABASE or SELECTED FOR PLACEMENT or NOT SELECTES FOR DATABASE mfano wa hivi
Wakikomaliwa na wtu weng wakipendekza wanaweza lifnyia kazihiki ndicho kilio cha wengi