mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
yaah mkuuWakikomaliwa na wtu weng wakipendekza wanaweza lifnyia kazi
Naombeni majibu wakuuWakuu naomba kuuliza hizi kazi za tutorial assistant ukifaulu unaweza tunzwa kwenye database.
Je Hilo pdf la kanzidata ni mwaka upi watalamba asali 2021 au 2022 waliofanya interview
Wakati wako utafika tu boss ww ndio itakuwa ile oral yangu ya kwanza na kuajiriwa hapohapoila haya maisha tunatofautina kama vidole mkononi kwa kwel mm hata oral tu sijawahi kuingia naona wenzangu humu kila mtu anaongelea placements tu hahahah
Huwa wanaziweka na kuziondoa, ukiona mabdiliko mara nyingi PDF ipo njianiNaona wamerekbisha zile null sidhn kama zipo bado
mwaka mzima unawaza kazi ambayo hauna uhakika nayo
Hii ki2 kama una connection utatoboa ila kwa watoto wa maskini bora wakabi utumishi kwny 100.
Wanaotoboa kwa connection utumishi labda ni 10.
Ila huko kwa tasisi utasikia 50 ni connection.
Bora Slow But Sure For Majority.
Utartibu wa databaseNaombeni majibu wakuu
Ni bora hizo 400 hizo mia wachukue kuliko kukosa kbsa hahhaKama TRA wanatoa ajira 500 hawawezi pachika watu wao wote asee wanaweza pachika 100 afu 400 tukapambania maskini. Hata utumishi janja janja zipo sana tu.
Hii la pdf la database ajira 1700 ni la kilaghai zaidi, wengine wanasema siasa. Kwa kuangalia trend ya matangazo ya ajira na placement zake.
Kutokusema ofisi mzee inathibitisha vipi ni uhuni?Hizo ni Siasa hata zile nafas za LGA/MDA hawaja sema ofisi zipi hapa ni uhuni tu.
Zile zitakua za halmashauri huko, utakutana tu na barua kuripoti kwa mkurugenzi halmashauri husika.Hizo ni Siasa hata zile nafas za LGA/MDA hawaja sema ofisi zipi hapa ni uhuni tu.
Ni bora hizo 400 hizo mia wachukue kuliko kukosa kbsa hahha
Kutokusema ofisi mzee inathibitisha vipi ni uhuni?
mkuu pale halmashauri ni LGA pekee, wakati MDAS huku ndo kwenye asali hasa ukiotea wizara,idara ama taasisi nzuriZile zitakua za halmashauri huko, utakutana tu na barua kuripoti kwa mkurugenzi halmashauri husika.
Zimewekwa too General, ingefaa wazichambue mtu ajue toka awali.
Kutokusema ofisi mzee inathibitisha vipi ni uhuni?
Huko MDA ndo kama zipi?mkuu pale halmashauri ni LGA pekee, wakati MDAS huku ndo kwenye asali hasa ukiotea wizara,idara ama taasisi nzuri
wizara zote, mashirika ya umma mfano pssf,nssf, ewura nkHuko MDA ndo kama zipi?
Piga dua.wizara zote, mashirika ya umma mfano pssf,nssf, ewura nk
ukiotea huku ndani ya mwaka mmoja una chombo cha moto road mkuuPiga dua.
Piga sana dua mkuu,ukiotea huku ndani ya mwaka mmoja una chombo cha moto road mkuu