Ki ukweli kuusu ili pdf, chochote tacho ongea ni uwongo, mi naona tusubir kwanza wazir wetu kipenzi afanye yake.Kwa hiyo wale wa.MDAs na LGAs wanaweza jazwa kwenye hao 1700 .Kumbuka Watu tumepiga oral tarehe 18.mwezi huu ujue...
IT atakuwa anamalizi kuwafuta vumbi watu wa database kuna watu wamekaa sanaa uko. Baada ya hapo ni shangwe kikubwa kata ticket yako mapema ya kwenda dom.Ki ukweli kuusu ili pdf, chochote tacho ongea ni uwongo, mi naona tusubir kwanza wazir wetu kipenzi afanye yake.
uchumi wa viwanda tulioahidiwa ndio umeleta haya yote mkuu,bora hata vijana tungekua tunakopesheka kwenye mabenki na halmashauriYote hii ni disaster ya kulundikana graduates kitaa , tangu 2014 rate ya kuajiri imekuwa ya kinyonga mno , lundo la graduates walioko kwa mtaa ni kubwa sana ,na sijui serikali itafanya nini kunusuru hii hali ,yaani maamuzi ya mtu mmoja yanaweza tengeneza crisis na ndio kilichotokea sasa
Yes,nina rafiki yangu yeye kapata kazi Kwa kupitia Database na alifanya Keka la NAOT.Kumbuka NAOT na hizi za MDAs na LGAs zimatangazwa almost muda sawa.Inaonesha sisi tuliopiga hiz unaweza jikuta kwenye keka.iUna maana za LGAs zitatngulia kutoka kabla ya mkeka wa Mhagama????
Kabisa ,uchumi wa viwanda tulioahidiwa ndio umeleta haya yote mkuu,bora hata vijana tungekua tunakopesheka kwenye mabenki na halmashauri
Poa poa aisee...Ki ukweli kuusu ili pdf, chochote tacho ongea ni uwongo, mi naona tusubir kwanza wazir wetu kipenzi afanye yake.
Katika ili sio Sawa ni Bora utaratibu uendelee hivyo pasipo mtu Kujua kwasababu kuwa kwenye database hakukupi Uhakika wa Kupata Kazi Unless nafasi zipatikane ss Jaribu kufikiria Umejua upo Kwenye database arafu Mwaka umeisha ujapata Kazi Kiubinadamu Lawama zitakuwa nyingi Sana kwa Sekretarieti ya Ajira kwanini uwe database na umekosa Kazi kipindi cha Mwaka mzima hapa ndy kuwaza kuna Urasimu Mwing ndani ya PSRS kitu ambacho kinaweza kuwa sio Sawa. Tuendelee hivyo bila KujuaMimi pia naunga mkono hii ,mtu ujuwe now unapatikana.Database au lah.
Kwani data base inaanza kuhesabakika kuanzia lini placement kutoka au baada ya oral tu?Katika ili sio Sawa ni Bora utaratibu uendelee hivyo pasipo mtu Kujua kwasababu kuwa kwenye database hakukupi Uhakika wa Kupata Kazi Unless nafasi zipatikane ss Jaribu kufikiria Umejua upo Kwenye database arafu Mwaka umeisha ujapata Kazi Kiubinadamu Lawama zitakuwa nyingi Sana kwa Sekretarieti ya Ajira kwanini uwe database na umekosa Kazi kipindi cha Mwaka mzima hapa ndy kuwaza kuna Urasimu Mwing ndani ya PSRS kitu ambacho kinaweza kuwa sio Sawa. Tuendelee hivyo bila Kujua
Shida kujua kuwa uko kwenye database ndo msalaHaijalishi ulipiga wap usaili just kwakua ulifaulu unapanguw popote.
As long as huna """ NOT""" ishi kwa matumaini kuwa upo.Shida kujua kuwa uko kwenye database ndo msala
Leo hii mbona kama ishaisha flan hivi.Keka zito zito la database is loading.....
Bora nijue nipo Database, gharama za.kwenda.kwenye interview zingine zinapungua....Katika ili sio Sawa ni Bora utaratibu uendelee hivyo pasipo mtu Kujua kwasababu kuwa kwenye database hakukupi Uhakika wa Kupata Kazi Unless nafasi zipatikane ss Jaribu kufikiria Umejua upo Kwenye database arafu Mwaka umeisha ujapata Kazi Kiubinadamu Lawama zitakuwa nyingi Sana kwa Sekretarieti ya Ajira kwanini uwe database na umekosa Kazi kipindi cha Mwaka mzima hapa ndy kuwaza kuna Urasimu Mwing ndani ya PSRS kitu ambacho kinaweza kuwa sio Sawa. Tuendelee hivyo bila Kujua
Huku kuanzia room ya kupanga ni bei juu halafu room ya kawaida sana, bado makorokocho mengine madogo madogo pia ni juuMkuu, kwa jinsi ulivyoona gharama za Dom zipo juu kuliko Dar?
Utalipata mkuukeka likitoka mnitag wakuu
Pdf litatoka mwaka mpya wa fedhapdf bado tu.. leo si jumatatu siku ya kazi[emoji15]
mbinu za Mchezo wa draft. 😄Katika ili sio Sawa ni Bora utaratibu uendelee hivyo pasipo mtu Kujua kwasababu kuwa kwenye database hakukupi Uhakika wa Kupata Kazi Unless nafasi zipatikane ss Jaribu kufikiria Umejua upo Kwenye database arafu Mwaka umeisha ujapata Kazi Kiubinadamu Lawama zitakuwa nyingi Sana kwa Sekretarieti ya Ajira kwanini uwe database na umekosa Kazi kipindi cha Mwaka mzima hapa ndy kuwaza kuna Urasimu Mwing ndani ya PSRS kitu ambacho kinaweza kuwa sio Sawa. Tuendelee hivyo bila Kujua