HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana mkuu.
 
- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
 
Hongera Sana,ukawe mtumishi mwema.Mungu ni mwema siku zote.Kukata tamaa ni mwiko.
 
Hongera sana.
Nenda ukalitumikie Taifa Vyema.

Wateja wako ndio Waajiri wako.
 
- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
Amemshukuru Mungu wake maana huyajui aliyoyapitia kingine maisha ni safari sio wote walio hizo taasisi ndio wana maisha peke yao kuna watu ni walimu na wana pesa ndefu kuliko watu walio kwenye hizo taasisi, kama unafanya kazi bila side hustle usitegemee utafikia mafanikio ya juu labda uwe corrupted servant.
 
Kweli mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…