Heaven kama heaven
JF-Expert Member
- Nov 27, 2021
- 457
- 799
Ukiweka doc ya serikali(barua) hadharani utakuwa umekwisha kabla hujaanza.Itoshe kusema hapa kuwa umepata kazi lkn sio kuanika karatasi yenye nembo JMT ambayo haikukusudiwa iwe publicMimi sipo kwenye hizi taasisi ukitoka wangu nitawawekea Hadi ushaidi wa barua hapa😁😁
safi afsaZa manyoni mkuu
Uko sahihi,kinachoanikwa ni PDF tu la Placement,mengine ni Siri,kuanzia Mshahara na mengineyo...Ukiweka doc ya serikali(barua) hadharani utakuwa umekwisha kabla hujaanza.Itoshe kusema hapa kuwa umepata kazi lkn sio kuanika karatasi yenye nembo JMT ambayo haikukusudiwa iwe public
KWELI WA TZ TUNAROHO MBAYA NA KUVUNJANA MIOYO- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
Kuna Uzi nilisoma Juzi hapo.Watanzania Ni watu wenye Chuki na Roho Mbaya....Na hii inadhihirisha.Yani badala ya Kumpongeza kijana mwenzetu kupata kazi mtu anamkatisha tamaa.Dah nimeshangaa sanaKWELI WA TZ TUNAROHO MBAYA NA KUVUNJANA MIOYO
Oyah hyo joking bhana huoni smile imagine hzo.. naona unaenda mbali saaaaaaana.Ukiweka doc ya serikali(barua) hadharani utakuwa umekwisha kabla hujaanza.Itoshe kusema hapa kuwa umepata kazi lkn sio kuanika karatasi yenye nembo JMT ambayo haikukusudiwa iwe public
hata mm nimepita na huo uzi,ndio maana watu wengi humu wamekua waoga akipata kazi anasema dogo amepata,au dgo amekosaKuna Uzi nilisoma Juzi hapo.Watanzania Ni watu wenye Chuki na Roho Mbaya....Na hii inadhihirisha.Yani badala ya Kumpongeza kijana mwenzetu kupata kazi mtu anamkatisha tamaa.Dah nimeshangaa sana
Ulitaka alie??- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
Safari ya maisha ya mtu anaijua Mungu mkuu. Nina kila sababu ya kufurahia. Hizo nafasi ambazo wewe unaziona za kawaida ni life changing opportunities kwa wengine.- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
walitangaza nafasi 82 tu. awali walichukua watu 73. Huu mkeka una nafasi kama 167. So hapo lazima mchongo wa database umehusika.NPS ilitoa nafasi ngp?na mpka sasa washaajiri wangapi?naona kama idadi inazidi kama sjakosea kuna mkeka ulitoka pia walichukuliwa weng
Kuna Uzi nilisoma Juzi hapo.Watanzania Ni watu wenye Chuki na Roho Mbaya....Na hii inadhihirisha.Yani badala ya Kumpongeza kijana mwenzetu kupata kazi mtu anamkatisha tamaa.Dah nimeshangaa sana
Yah database hiyo mzee imekomba woteewalitangaza nafasi 82 tu. awali walichukua watu 73. Huu mkeka una nafasi kama 167. So hapo lazima mchongo wa database umehusika.
Ngoma Ile kutoka usiku vile Ina maana Leo au Kesho tutegemee Kitu kingine......vp wakuu leo tutegemee placement lolote nene
Hili ni tatizo kwa kweli, kwanini usitumie huo muda kuwapongeza wenzio baadala ya kuleta shombo hizi, kama hujisikii kupongeza kaa kimya ndugu naona muda mwingi umekaa kinegative negative sana.- Unashangilia Sana, Uwakili wa serikali ni kama Ualimu tu, tofauti ni ndogo Sana, angalau ungekuwa umepata Kazi EWURA,LATRA,TRA,TANAPA,TCRA,eGA
-
Jamaa anakwaza sana, si bora akae kimya tu, tunajua wengine wanatoka familia zinazojiweza lakini isiwe sababu ya kuwa negative kiasi hicho na inawezekana hapitii/hajapitia hustle kama wenzie wanazopitia ndiyo maana anaposti kwa mfumo huo.Kuna Uzi nilisoma Juzi hapo.Watanzania Ni watu wenye Chuki na Roho Mbaya....Na hii inadhihirisha.Yani badala ya Kumpongeza kijana mwenzetu kupata kazi mtu anamkatisha tamaa.Dah nimeshangaa sana
Hongera kwa kupata nafasi.walitangaza nafasi 82 tu. awali walichukua watu 73. Huu mkeka una nafasi kama 167. So hapo lazima mchongo wa database umehusika.
Umeongea vyema kabisa kuwa wengine sisi ndo wakombozi wa familia zetu hata kwa kidogo tunacho jaaliwa na Mwenyezi MunguHili ni tatizo kwa kweli, kwanini usitumie huo muda kuwapongeza wenzio baadala ya kuleta shombo hizi, kama hujisikii kupongeza kaa kimya ndugu naona muda mwingi umekaa kinegative negative sana.
Inawezekana wengine kwenu mna uwezo ambao familia zenu zinawasapoti lakini wengine hizi kazi ambazo wewe unazidharau ni ukombozi kwa familia zao. Acha hivyo vitu vyako bhana.
Daaah, nimamaindi kama kanisema mimi, ni kweli kila mtu kalelewa katika malezi tofauti lakini siyo kwa style hii. Kama angejua hustling za wenzie huku kitaa naamini hayo maneno hasingeyatumia inawezekana yeye ni mboga nyingi mezani.Umeongea vyema kabisa kuwa wengine sisi ndo wakombozi wa familia zetu hata kwa kidogo tunacho jaaliwa na Mwenyezi Mungu
Aiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.
Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.