Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
- Mimi Maisha duni tu, Niko napambana kubeba nondo viwanda vya Chuma huku mkuranga.Hili ni tatizo kwa kweli, kwanini usitumie huo muda kuwapongeza wenzio baadala ya kuleta shombo hizi, kama hujisikii kupongeza kaa kimya ndugu naona muda mwingi umekaa kinegative negative sana.
Inawezekana wengine kwenu mna uwezo ambao familia zenu zinawasapoti lakini wengine hizi kazi ambazo wewe unazidharau ni ukombozi kwa familia zao. Acha hivyo vitu vyako bhana.
Sasa mkuu mbona unaongea maneno kama yle inaonekana mwenzetu mboga 7- Mimi Maisha duni tu, Niko napambana kubeba nondo viwanda vya Chuma huku mkuranga.
- Mimi Sina kazi ya maana Niko kwenye viwanda vya Chuma huku mkuranga nabeba nondo za Moto, kazi ngumu hatari.Mkuu inaonesha wewe una kazi maalum ya uhakika, kuna jobless hajui kesho aamkie wapi. Ualimu wenyewe siku hizi mtu akipata anainua mikono juu kumshukuru Mungu.
Jamaa dhahiri anaonekana ana sifa ya kimojawapo kati ya hivi kama sio vyote kwa pamoja.Hili ni tatizo kwa kweli, kwanini usitumie huo muda kuwapongeza wenzio baadala ya kuleta shombo hizi, kama hujisikii kupongeza kaa kimya ndugu naona muda mwingi umekaa kinegative negative sana.
Inawezekana wengine kwenu mna uwezo ambao familia zenu zinawasapoti lakini wengine hizi kazi ambazo wewe unazidharau ni ukombozi kwa familia zao. Acha hivyo vitu vyako bhana.
Sasa mkuu mbona unaongea maneno kama yle inaonekana mwenzetu mboga 7
AIsee huyo mwamba amezingua sio poa kbsa
Wanasheria karibu 150 wamekula shavu NPS [emoji119]
Wanasheria karibu 150 wamekula shavu NPS [emoji119]
Unamfahamu huyo unaesema sio level yake?
- ni mawakili sio wanasheria,
- hao sio Level Yako, wako level ya juu Sana compared to taaluma Yako uliyosomea.
Ni kweli kijana mwenzetu kama umeteleza ni sawa, lakini hii opinion yako mimi binafsi imenikwaza na ndani yake kuna kebehi kubwa sana wakati mtu alienda mpaka kanisani/msikitini kuombea hicho unachokidharau ndiyo maana watu wame react juu ya hiyo meseji yako ndiyo ujue mtaani vijana kunawaka moto.-
- hapana sio mboga 7 ni mpambanaji tu,
- Naona Opinion yangu imekera Sana
We jamaa eti NIRC wasubiri kidogo. Watoe tu zote watu tujue kama tusubiri msimu mwingine au la?Leo kuna harufu ya PDF la taasisi mbalimbali za umma. NIRC wasubiri kidogo.
ahahahahhahaah, Mkuu inawezekana hii ni nature ya huyu mtu. Humu kuna watu wawili wapo negative sana na wenzao sijui kwanini ?Unamfahamu huyo unaesema sio level yake?
- level yake ya niniUnamfahamu huyo unaesema sio level yake?
Hongera sana brotherAiseh namshukuru Mungu kwa kupata nafasi hapo NPS....placement ya awali iliyotoka January hapo hapo NPS sikuwemo, nikavunjika sana moyo.
Basi nikapiga moyo konde nikijua kuwa haikuwa riziki...Leo naona nimo miongoni mwa waliomo kwenye mkeka. Sina la kusema. Njia za Mwenyezi-Mungu hazichunguziki.
Watakuwepo tu.Ivi kuna mtu ameomb kazi za wcf uku
Mkuu unaoneka uko makini sana katika kusoma michango ya wadau, karibi rasmi katika uzi.ahahahahhahaah, Mkuu inawezekana hii ni nature ya huyu mtu. Humu kuna watu wawili wapo negative sana na wenzao sijui kwanini ?
yaah,mm mojawapoIvi kuna mtu ameomb kazi za wcf uku
Shortlist la usaili wiki ijayo, jiandae.yaah,mm mojawapo
hongera sana afsa, vp huko status kwenye app ilikuaa inasomaje luteni?Hello Guys
Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Pumzi, sijawai kuchangia katika jukwaa hili especially kwenye huu uzi...
Naweza sema ni bahati lakini pia wakati wa Mungu ni sahihi leo hii nimedumbukia kwenye pipa la Asali..
nimefanya interview 04
nlianza fanya interview 2021 mwezi wa pili rasmi...
mwezi December nikafanya interview kwa kujiiba sana....
kwanza Niliitwa interview majina nikaja yaona zimebaki siku 2, niliomba ruhusa kwenye kijibarua changu nikanyimwa ikanibidi nisafiri usiku saa 2 kutoka Mbezi kwa Magufuri, nimefika Dodoma saa kumi usiku, nikakosa sehemu ya kulala nikalala lecture room, saa kumi na mbili umeme ukakatika hivyo kimsingi sikua nimesoma kibarua changu ninaingia saa 1 natoka saa 12 jioni nimefanya written kwa juhudi na idea tu, matokeo walisema wanatoa baada ya siku 2 ikawa tofauti mpk jumatatu matokeo hayakutoka na oral ilikua jumanne imefika jioni nikaamua kuondoka Dar pasipokua najua matokeo ila ni roho tu na Uwezo wa Mungu uliniongoza tu lengo lilikua ni kusogea mpk morogoro nikiskilizia matokeo nimefika Moro saa nne matokeo yametoka nipo na ni mtu wa tatu nikapanda gari mchomoko nimefika Dodoma saa 11 asubui nikaomba mahala nimeingia nikaoga nikavaa nikaenda interview kumbuka sijajiandaa na kitu apo ila ni roho Mtakatifu tu
aliniongoza oral nimefanya saa sita mchana sijala kitu toka asubui
kiukweli oral maswali 5 nlijibu maswali 4 vzr swali moja nlizingua na lingine nlijibu point 3 badala ya tano naweza sema ni ile knowldge na kwakua nlikua na tabia ya kusoma soma..
napenda kusema kwa Wasaka mirija wenzangu kua
1.Mungu kwanza
2. Wakati wa mungu ni sahihi nimekaa miaka 6 bila ajira ya maana kwa ujira mdogo uku nikiwa ni muhitimu tena mwenye vyeti vizuri
3. Maandalizi na kusoma sana ndio ngao yako usibweteke na maksi za written walioongoza written yetu wameachwa wote unapo apply tu status ikisoma received anza soma kama uko UE
4. Changamana na watu upate connection maana mimi sikusoma ila kupitia maongezi nilipata kitu
asanteni one oral interview one goal