HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watu wanapitia mengi sana halafu
BALENSIAGA unaanza kutoheshimu watu na kutowatia nguvu wenzako....

Hongera sana Mkuu,ukawe na Utumishi mwema.Bila shaka ni historia umeweka,hata waliokubania ruhusa kumbe walikuwa wanakupa Mafanikio,Muhimu kumshukuru Mungu Kwa kila Jambo,liwe Kheri au la Shari yeye anajua Kesho zetu kuliko Sisi tunavyofikiri.Hongera sana sana...
 
I remember your comment baada ya kukosa kazi NPS, hongera sana, Mungu anasikia[emoji1431][emoji1431]
 
Mkuu, hongera sana. Ashukuriwe Mungu muweza wa yote. Go, get it.
 
hongera sana kaka hasikulatishe tamaa huyo jamaa wengine humu bado wana utoto mwingi kukua napo ni juhudi utoto raha sana
 
Hongera sana mkuu kwa potent comment, Jana mimi nilikuwa na oral yangu ya pili na ya mwisho kwa received zangu.

Kwakweli oral haikuwa ngumu sana wala rahisi sana, Mimi nilisikitika saba kuona watu wa degree prog. Kama yangu na wenye miaka karibia 38-40, tukiwa nao kwenye mpambano.

Naomba kile kigezo cha umri kichukue mkondo wake, kama watakuwa wamefaulu wapewe priority.

Mimi mwenyewe naomba Mungu niwemo kati ya oral mbili hizi nilizopiga.
 
maisha safari ndefu na kila mmoja ana njia yake na riziki yake...mungu awaone hao wakongwe wanaoska mrija ktk umri mkubwa
 
Hongera Sana ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…