HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kweli kabisa, nenda kafanye kazi kwa bidii na weledi. Hayo mambo ya kupitwa salary kisa mwenzako yupo taasisi fulani ni mambo ambayo lazima yawepo kikubwa ni kujituma na unaweza shangaa unaishi life zuri sanaa. Mimi nakupongeza tena, hongera sanaaa mkuu.
 
Sauti ya mtu mmoja tu ndiyo imesababisha yote haya kiasi cha kufanya wasomi waonekane si lolote mpaka mtu anafikia 40 hajui kesho/tumaini lake
 
Hongera sana mkuu!
 
Wala usingetumia Nguvu Sana kushukuru ni Jambo nzuri hata Kwa Mwenyezi Mungu alietaka iwe hivyo tusitenge matabaka ya kushukuru tufanye hivyo tunapoona Neema ya Bwana Juu Yetu hata km ni ndogo lkn tutambue haikuwa Kwa Uwezo wetu wala Nguvu zetu pasipo Yeye so Muache awaze hivyo hivyo lkn hajue kuna Watu Wapo Smart sn lkn ukiwauliza wanakuambia wanapenda kufundisha (Ualimu) Kati haya Mambo ya Ajira kuna watu wa Aina 2
1. Anaomba Kazi Kwa sababu anaipenda Kazi hiyo na yupo nafuraha kuifanya Kazi hiyo ajari Kabisa maslai.

2. Lkn kuna awa wanaofata Pesa tu ili ndy tatzo ss wao wapo tayar kupiga Kazi yoyote cha Muhimu Mpunga uwe mrefu tu.
 
Hongera sanaa mkuu, bila shaka ni wizara ya kilimo.
 
Leo nimekutana na mwamba ametoboa zile kazi TRA nafasi ya TMO yuko aged 40+....... anasema alianza maandalizi kwa hizo nafasi za TRA toka mwaka jana mwezi wa 7

Amefanya interviw 4 amechezea ndoige 3, moja hiyo ya TRA ndo imetikii,ana received 2 but kwa kuwa amepata kazi anaachana nazo

Kanifunza kitu tusikate tamaa tupambane na maandalizi ya mapema ni muhimu sana,ukiona received tu anza kukomaa
 
Kwakweli hongera yake na kwa utumishi kutoa priority kwa masinia....
 

Hongera sana mkuu,

Kumbuka kutoa shukurani Kwa hatua hii kubwa uliopambania na hatimae kupata, na pia usisahau kujipongeza mkuu.
 
Hongera mnoooo dear
 
Hongera sana ndugu.
 
Hongera sana,,, Wakati wa Mungu umefika
Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…