HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hawakuwa na watu kwenye kanzidata, waliofaulu wote waliitwa kazini. Ambao hawakuitwa hawakufika vigezo, ndio maana baada ya Ile placement wakatangaza nafasi nyingine za kazi za kutosha.
Mbona kuna watu waliandikiwa reserve baada ya placement ya mwaka jana wakitegemea mwaka huu wataitaitwa lkn ikiwa kimya na baadala ya placement ya juzi hawajasema chochote kwa status
 
Kwaiyo sisi tuliokuwa tunashuka point wanatusikiliza walikuwa wanatuchora kumbe duuuuuuh kweli Mungu asaidie
Si hua wana note down then wanasahisha. Yani oral ambayo unasaidiwa tu kuandika[emoji848]
 
Mbona kuna watu waliandikiwa reserve baada ya placement ya mwaka jana wakitegemea mwaka huu wataitaitwa lkn ikiwa kimya na baadala ya placement ya juzi hawajasema chochote kwa status

BINAFSI hyo stutus ya reserve sijawahi kuona wa kusikia ndio mara ya kwanza. Ila ninachojua TRA walikuwa na uhitaji mkubwa sna ndio maana watu walichukuliwa wengi kuliko hata nafasi zilizotangazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…