Ahaa sawa, Pole sana na majukumu.Majukumu yamekuwa tu mengi kaka leo nmepata msaidizi. NPS sikuomba kaka na uwakili wa serikali sijawahi omba
Tunakusubiri Weapo uanze kuuliza StatusAsante mkuu nmekuelewa
Pdf yake ishatoka?Hio imentokea an am talking from my experience..nimefanya oral 3..moja ya Mda/lga nilifanya tarehe 14 nlivotoka tu kucheki tarehe 15 nikakutana na not selected
Mmmh wewe unafurahisha genge au kuwapa moyo tu watu humu.. Kama ni yako basi weka tuone hapa, me sitaki unafiki kabisaaaaaHio imentokea an am talking from my experience..nimefanya oral 3..moja ya Mda/lga nilifanya tarehe 14 nlivotoka tu kucheki tarehe 15 nikakutana na not selected
Mkuu tupe experience ilikuaje, ulijibu vipi maswali yao..na kwa mtazamo wako unaona hukuvuka 50%?Hio imentokea an am talking from my experience..nimefanya oral 3..moja ya Mda/lga nilifanya tarehe 14 nlivotoka tu kucheki tarehe 15 nikakutana na not selected
Hahaha,washashtukia psrs maana tunaiongelea sana so na wenyewe naskia wanaitwist everytime. But am pretty sure before the hype status zilikua zinamaanisha kitu kabsa.Tunakusubiri Weapo uanze kuuliza Status
Nawe jiongeze bhan, mtu Usaili kafanya tar 14 mwezi huu then I itoke pdf kweli.. kuwa serious basi, me nachotaka atuthibitishie tu hyo not selected kama kweli isiwe anafurahisha genge hapaPdf yake ishatoka?
Mmm
Mmmh wewe unafurahidha genge au kuwapa moyo tu watu humu.. Kama ni
Ni yangu.. honestly sioni umuhimu wakudanganyaMmm
Mmmh wewe unafurahidha genge au kuwapa moyo tu watu humu.. Kama ni yako basi weka tuone hapa, me sitaki unafiki kabisaaaaa
Mbona hujaniwekea mkuu nioneKwaio kwenye target yangu nshaitoa hio ya Mda/lga nasubiria 2
Kwani imechange baada ya mda gani mkuu?Kwaio kwenye target yangu nshaitoa hio ya Mda/lga nasubiria 2
Honestly ile naona nlizingua siunajua hizi kada mnazoitwa watu wengi then inabase kwa faculty moja..so nlivotoka tu nkawa nina wasi wasiMkuu tupe experience ilikuaje, ulijibu vipi maswali yao..na kwa mtazamo wako unaona hukuvuka 50%?
Em tuone screenshot,yan waweke not selected just a day after oral? I very much doubt thatHonestly ile naona nlizingua siunajua hizi kada mnazoitwa watu wengi then inabase kwa faculty moja..so nlivotoka tu nkawa nina wasi wasi
Aaaaah asee subir pdf kaka, 14 si juzi tu apa status zote sio zinasoma selected for aral, lolote linatokea.Ni kwenye App ndio not selected ila web kule ni selected
Mpk kesho status kwny app zina maanaHahaha,washashtukia psrs maana tunaiongelea sana so na wenyewe naskia wanaitwist everytime. But am pretty sure before the hype status zilikua zinamaanisha kitu kabsa.
Dout tu sa kuna umuhimu gani wakudanganya?? Nafuraisha genge ili iweje...sema sio fresh tu kuweka vitu public maana kuna watu tu maswali yalioulizwa hawataki kuyataja sembuse kwenye account kabisaEm tuone screenshot,yan waweke not selected just a day after oral? I very much doubt that
Hakuna aliethibitisha hiloMpk kesho status kwny app zina maana
Hahaha kweli hata mimiEm tuone screenshot,yan waweke not selected just a day after oral? I very much doubt that
PDF ndio mpango mzima.Hakuna aliethibitisha hilo
Mkuu! Mbona hiyo sio kawaida ungetuwekea screenshot ingekuwa poaOne day after oral.. oral nimefanya tarehe 14 kuja kucheki tarehe 15 mzigo not selected ila kwenye web ipo selected for oral..kwenye App ndio not selected for oral
KabisaPDF ndio mpango mzima.