mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
nakusapoti mkuu hoja yako,hta maswali tu ya oral mtu anajifanya hataki kuweka hapa eti ni public confidentiality, sema ungetusapoti maniga wachache ila hide hio namba yako ya usahiliD
Dout tu sa kuna umuhimu gani wakudanganya?? Nafuraisha genge ili iweje...sema sio fresh tu kuweka vitu public maana kuna watu tu maswali yalioulizwa hawataki kuyataja sembuse kwenye account kabisa
Ukitumiwa ulete hapa[emoji16]Uhakika...
Hahaahhah haimanishi kitu , IT kasha haribu mfumo ulikua unaonesha ukipiga fresh oral na ukizingua, so now coz kila raia ina soma ""selected for oral"", mpaka shuhuda mpya zipatikane for me no comment.Mtalaam wa status hapo inamaanisha nn
Nakubaliana na wwHahaahhah haimanishi kitu , IT kasha haribu mfumo ulikua unaonesha ukipiga fresh oral na ukizingua, so now coz kila raia ina soma ""selected for oral"", mpaka shuhuda mpya zipatikane for me no comment.
For now pdf ndo msema kweli
Hyo zaman mlkua mnawezaje kutambuaHahaahhah haimanishi kitu , IT kasha haribu mfumo ulikua unaonesha ukipiga fresh oral na ukizingua, so now coz kila raia ina soma ""selected for oral"", mpaka shuhuda mpya zipatikane for me no comment.
For now pdf ndo msema kweli
Ilikua huwez jua umepata kazi ila unajua still bado upo kwa competition, COZ izo ""NOT"" after oral zilikua zina exist for real. But now inaonekana wa prac wasio na prac ata zile status za watu waliokua na NOT zote zime kuwa """ selected for oral"""Hyo zaman mlkua mnawezaje kutambua
Mzee wa Uhamiaji, huyo mwamba aweke tu hapa screenshot sio kutufanya kama watoto wadogo๐nakusapoti mkuu hoja yako,hta maswali tu ya oral mtu anajifanya hataki kuweka hapa eti ni public confidentiality, sema ungetusapoti maniga wachache ila hide hio namba yako ya usahili
ngoja aje atuwekee mkuu tupruvuMzee wa Uhamiaji, huyo mwamba aweke tu hapa screenshot sio kutufanya kama watoto wadogo๐
Hakuna Cha kujitetea mambo za maswali kumwani Kuna mtu anataka maswali hapa hv hajui saili zote zimeisha๐
Oooh hapo nmekupataIlikua huwez jua umepata kazi ila unajua still bado upo kwa competition, COZ izo ""NOT"" after oral zilikua zina exist for real. But now inaonekana wa prac wasio na prac ata zile status za watu waliokua na NOT zote zime kuwa """ selected for oral"""
Hajatuma......Ukitumiwa ulete hapa[emoji16]
Sijamtumia chochote...ila kubali/kataa ipo ila ntawaletea picha some few days naomba niishie hapaHaya kijana wetu mazaga one hebu tupe mrejesho wa hicho alichokutumia bwana mkubwa
Fala kweli๐๐Hajatuma......
Labda alijua me Mdada anikule kimasikhara....๐
Hajatuma mzeeHaya kijana wetu mazaga one hebu tupe mrejesho wa hicho alichokutumia bwana mkubwa
[emoji23],na anaweza akatuma not selected ya written huyu,wakat tunataka ya oralHajatuma......
Labda alijua me Mdada anikule kimasikhara....[emoji23]
Hahaha humu JF mtu akijua Mdada PM faster,Sasa ulitaka namba ya Wasap Wakati PM Iko wazi unaweza nitumia...Ila Kwa kuwa umejua mkaka umekimbia...Fala kweli๐๐
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha humu JF mtu akijua Mdada PM faster,Sasa ulitaka namba ya Wasap Wakati PM Iko wazi unaweza nitumia...Ila Kwa kuwa umejua mkaka umekimbia...
Alikuja kuchangamsha genge Huyu.....[emoji23],na anaweza akatuma not selected ya written huyu,wakat tunataka ya oral
Ungejifanya mdada tu mkuu tupate uthibitisho[emoji1787][emoji1787]Hahaha humu JF mtu akijua Mdada PM faster,Sasa ulitaka namba ya Wasap Wakati PM Iko wazi unaweza nitumia...Ila Kwa kuwa umejua mkaka umekimbia...