HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mfwende mpina .....Ni kweli hata wewe una stress unasahau vingine....
 
Kwa upande mwingine kama nakuelewa mkuu,hutak negative judgement from people.
Ni kwel ukiweka kuna wataokupa moyo na wengne watakwambia baba jane bye bye.
Wakat we all know kwa sasa status hazimanish chochote.
Have it your way man,lets keep praying for the best.
 
Mlivozijadili status IT akabadili null zenu kuwa practical.
Vijana mkaona haitoshi mkaendelea akazitoa practical akazipeleka kwenye oral.
Bado mnaendelea, ayaaaa kitachofata ni .........selected for oral.
 
[emoji1787]kumbe tumejiharbia wenyew,inabd sensitive issue tuwege na kachemba ketu ambako psrs hawatasoma mawazo yetu
 
Mlivozijadili status IT akabadili null zenu kuwa practical.
Vijana mkaona haitoshi mkaendelea akazitoa practical akazipeleka kwenye oral.
Bado mnaendelea, ayaaaa kitachofata ni .........selected for oral.
Naona huu uzi watakuwa wanapitia sana.Kwa hiyo lolote lile wanalifanyia kazi......
PDF is loading......
 
Andaa suti.
 
At least umenielewa... let's keeping praying kwenye zile 3 nitokee ata moja na wewe oral yako uliofanya juzi Kati utoboe
 
Naona huu uzi watakuwa wanapitia sana.Kwa hiyo lolote lile wanalifanyia kazi......
PDF is loading......
Naona huu uzi watakuwa wanapitia sana.Kwa hiyo lolote lile wanalifanyia kazi......
PDF is loading......
Na kama mnalijua hili basi utumieni uziiii vizur kufikisha changamoto, ila ziwe officially sio/tusiwe kuwa quote mda wote kwenye pointless, adi kwenye nonsense, itawasaidia na kusaidia wanaokuja pia.
 
Waheshimiwa waliopo kwenye mirija wa asali,
Leo ni Tarehe 21, vipi jambo limefanyika huko kwenye akaunti?
Maana kuna mtu namdai, yupo kwenye mrija ila ananiambia kwenye akaunti yake mambo bado; nataka nijue kama ni kweli au ananizingua.
 
Changamoto Yao Kubwa ni kuchelewa kutoa Placements,hata wao wenyewe washajua Hilo ni tatizo.Kama Leo hii mtu alifanya Oral 28 November ila mpaka Sasa placement hamna na ni mwezi Wa tatu huu,si tatizo Hilo.Hapo Hapo mtu ameomba Scholarship,na mambo mengine mengi anakuwa anasubiri hatma yake ila ndio hivyo inachelewa...
Sekretarieti ya Ajira
 
Waheshimiwa waliopo kwenye mirija wa asali,
Leo ni Tarehe 21, vipi jambo limefanyika huko kwenye akaunti?
Maana kuna mtu namdai, yupo kwenye mrija ila ananiambia kwenye akaunti yake mambo bado; nataka nijue kama ni kweli au ananizingua.
Nadhani Kesho watawekewa/ila wiki hili hili lazima akupe Hela yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…